Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

..naamini Iran angewekeza kwenye teknolojia za kiraia na sio kijeshi wangekuwa mbali sana leo hii.

..hawa jamaa wamebarikiwa vipaji na uwezo ktk sayansi lakini wanaangushwa na viongozi na watawala wao wanaopenda vita.

..Iran wangeweza kuwekeza ktk kuunda magari na mitambo kama South Korea na mitambo hiyo ingekuwa inatumika dunia nzima.

..Wangeweza pia kuwekeza ktk kutengeneza madawa kama walivyofanya India ambao leo hii inasemekana wanatengeneza 60% ya chanjo za covid-19.

..Nafasi ambayo India na South Korea wapo naamini ktk sayansi na teknolojia Iran wangeweza kuifikia kama wangekuwa na viongozi wenye maono.

..Samahani kwa kuwatoa nje ya mada yenu.
Upo sawa mkuu, viongozi hawapendi vita , USA na Israel ndio tatizo hilo lipo wazi, mkuu hata leo hii huku Africa ukiwa na mali tu ni shida, taifa lolote duniani likiwa na mali na uende against na USA wewe ni threat kwao.
Kifaru anaponzwa na pembe zake, tazama China wamekuja na 5G, waliitest Japan tatadocomo ilikuwa inakwenda 1Gb/sec latency yake ilikuwa nzuri mno, lakini tazama USA alichokifanya.Kapiga vita.

TikTok ilianza kuleta ushawishi na kupendwa sana tazama USA alichofanya mpaka wameinunua, wanataka instagram,facebook, whatsapp,youtube n.k vya kwao ndio viwe juu siku zote.

Wanaipiga Russia vita kuuza gas ulaya.

Tatizo la wenzetu ni wabinafsi sana asee.

Libya kuwa na mafuta tu ilikuwa threat kwao,wakaja wakampiga mzee Gaddafi wakamzalilisha sana na kumuua.
Nchi imenuka na wao wamekimbia.

Iran inachofanya ni sawa, bora kuwa mbishi tu.
 
We jamaa bhana unaelewa maana ya kuspy??? Yaani amchunguze then aambie dunia "angalieni sehwmu vinu vya irani vipo" intelligence information is kept top secret hadi zifanyiwe kazi.

IDF mpaka anarisk kutuma ndege za mamilion ya dollars plus askari wake pilots halafu aambie dunia????

Bro kuwa serious basi hata kidogo

Hao Hezbollah hata hizo image zimeripotiwa na jpost IDF wamezikupali kwamba ni zao??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni siri we umejuaje upo huku Tanzania? hio ni siri? 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅
Eti kuiambia dunia, we umejuaje. ina maana si siri tena ume alert adui ajipange, kama alikuwa amekaa vibaya inabidi ajipange.
Sio siri tena hata kama picha wanazo inabidi waziweke ukutani kama mapambo😅😅😅😅😅.

Tom Cruise--Mission Impossible.

Kingine hata ujue vinu vya Iran vilipo huwezi kuvishambulia, vipo deep underground, mbona kuna picha nyingi tu USA wanazo kuonesha vinu vya Iran vilipo lakini wanafika kushambulia?

Thats why Israel anaishia kuua wanasayansi lakini hawezi kushambulia vinu vya nuclear, kwanza vipo sites zaidi ya moja.

Kibaya zaidi sasa kumbe walikuwa kwenye mazoezi yaliyojumuisha namna ya kuzuia drones kuingia Israel halafu Hezbollah ndio wanapeleka sasa drone kuwapiga picha
 
Upo sawa mkuu, viongozi hawapendi vita , USA na Israel ndio tatizo hilo lipo wazi, mkuu hata leo hii huku Africa ukiwa na mali tu ni shida, taifa lolote duniani likiwa na mali na uende against na USA wewe ni threat kwao.
Kifaru anaponzwa na pembe zake, tazama China wamekuja na 5G, waliitest Japan tatadocomo ilikuwa inakwenda 1Gb/sec latency yake ilikuwa nzuri mno, lakini tazama USA alichokifanya.Kapiga vita.

TikTok ilianza kuleta ushawishi na kupendwa sana tazama USA alichofanya mpaka wameinunua, wanataka instagram,facebook, whatsapp,youtube n.k vya kwao ndio viwe juu siku zote.

Wanaipiga Russia vita kuuza gas ulaya.

Tatizo la wenzetu ni wabinafsi sana asee.

Libya kuwa na mafuta tu ilikuwa threat kwao,wakaja wakampiga mzee Gaddafi wakamzalilisha sana na kumuua.
Nchi imenuka na wao wamekimbia.

Iran inachofanya ni sawa, bora kuwa mbishi tu.

..ukiwa taifa la vita-vita ndio utaanza kukwaruzana na USA.

..South Korea alianza mdogo-mdogo na magari yake ya Kia na Hyundai leo hii wamejiongeza wanashindana na magari ya Kijapan.

..India amewekeza kwenye teknolojia ya madawa na ukihudhuria makongamano ya wafamasia ya kimataifa utawaona Wahindi wengi kwelikweli. Yaani wao ndio wameitawala sekta ya viwanda vya madawa duniani.

..Gaddafi alikuwa mjinga kwa kufadhili magaidi na mashambulizi dhidi ya Wamarekani na Waingereza. Pia hakuruhusu demokrasia nchini kwake. Gaddafi angekuwa na akili angetengeneza mfumo wa demokrasia, hata kama ni feki, na kumuachia nchi mtu anayemtaka yeye.

NB:

..halafu Iran wana wanawake wazuri usisikie.
 
U mwandishi mzuri lakini nchi yenye nguvu zaidi kijeshi katika NATO baada ya US so Turkey .. Turkey Ni nchi yenye Askari wengi zaidi katika NATO baada ya Us . Na Turkey Ni nchi ya kwanza yenye Jeshi kubwa zaidi Ulaya
Turkey uwezo wake ni wa kawaida kivita, Sema inakua overrated sana.

Turkey sio Nchi ya pili kwa nguvu Bali ni wa pili kwa Askari wengi katika NATO.
 
..ukiwa taifa la vita-vita ndio utaanza kukwaruzana na USA.

..South Korea alianza mdogo-mdogo na magari yake ya Kia na Hyundai leo hii wamejiongeza wanashindana na magari ya Kijapan.

..India amewekeza kwenye teknolojia ya madawa na ukihudhuria makongamano ya wafamasia ya kimataifa utawaona Wahindi wengi kwelikweli. Yaani wao ndio wameitawala sekta ya viwanda vya madawa duniani.

..Gaddafi alikuwa mjinga kwa kufadhili magaidi na mashambulizi dhidi ya Wamarekani na Waingereza. Pia hakuruhusu demokrasia nchini kwake. Gaddafi angekuwa na akili angetengeneza mfumo wa demokrasia, hata kama ni feki, na kumuachia nchi mtu anayemtaka yeye.

NB:

..halafu Iran wana wanawake wazuri usisikie.
Mkuu Iran alikuwa na mahusiano mema na USA, tatizo kuna kibaraka mmoja USA walimuweka Shah Mohammed Phalavi, asee jamaa alikuwa anakula maisha, mke wake alikuwa anaoga maziwa mkuu, Iran njaa ilikuwa kali hatari, halafu uonevu ulizidi dhidi ya wananchi ndipo Khomenei alipopindua serikali na vita na USA ikaanzia hapo.

Ni kweli mkuu Iran wana wanawake wazuri,kitakwimu ndio wanaongoza middle east ikifuatiwa na Lebanon n.k
363727aef31e09811728125a2732211c.jpg

Kwenye ulimwengu wa ki arab Lebanon ndio wanaongoza kuwa na wanawake wazuri.
 
..Mashalaah!!

..Yote uliyoeleza kuhusu Shah ni ya ukweli.

..Lakini nadhani Ma-Ayatolah wamefanya makosa kuiingiza Iran kwenye mashindano ya silaha na kijeshi.

..Iran ana vyuo vikuu vizuri na pesa za ku-invest kwenye R& D ktk teknolojia za kiraia /zisizo za kijeshi ambazo zingeweza kuwainua sana kiuchumi.
 
Vita vya mwaka 1980-1988 kati ya Iraq na Iran, na USA kumpa back up Saddam ni funzo tosha kwa Iran kwamba wasikae kizembe.
Shah aliwaneemesha sana USA na UK wakati ule, Iran ipo sawa, ukikaa kizembe utamnufaisha mwingine, its ok.

Mkuu ikitoka Russia kwa reserve kubwa ya gas inafuatia Iran duniani, unaweza kuona jinsi walivyo na mali, hilo ndilo kosa.

Russia anauza gas ulaya kibabe japo USA hataki.

Kusema Iran isiwekeze jeshini ni sawa na kusema USA asiwekeze kijeshi.

Iran haijafanya mashindano yeyote yale kijeshi, baada ya mapinduzi 1979, 1980 wanaanza vita na Iran huku wana sanctions kibao ikiwamokutonunua silaha n.k.

Sasa unawekewa sanctions usimiliki silaha utakaa tu, huwezi, ndio maana wanabuni silaha zao wenyewe.

USA alikuwa anaogopa sana communisim na Iran ilikuwa inamezwa na ucommunist kwa kile chama cha Tudeh, ndio hawa capitalist wakafanya mipango mpaka Pahlavi anaingia kuongoza Iran kama kibaraka wa USA na kunufaisha USA na UK kwenye masuala ya petroleum.

Sasa unaona hao watu ni wazuri? ni bora Iran inavyowekeza kwenye jeshi .
 
Iran bora ahangaike na Israel Marekani hatomuweza. Maana sijui Irani akipigwa na yeye atakuwa akirusha Misille Washington au Ohio? au hasira zake atarusha rocket Saudia and Bahrin? maana hata hao Watakaoguswa na Iran hawatonyamaza lazima na wao mamchape ndipo vita itakuwa ngumu hasara atapata kubwa ikiwemo na Regime Change.
Marekan mwenyewe hawez mpiga Iran kutokea kwake lazima aombe msaada nchi ya karibu na kwa Hali ilivyo hamna nchi ambayo iko tayar kum jaribu Iran
 
Kama ni siri we umejuaje upo huku Tanzania? hio ni siri?
Eti kuiambia dunia, we umejuaje. ina maana si siri tena ume alert adui ajipange, kama alikuwa amekaa vibaya inabidi ajipange.
Sio siri tena hata kama picha wanazo inabidi waziweke ukutani kama mapambo.

Tom Cruise--Mission Impossible.

Kingine hata ujue vinu vya Iran vilipo huwezi kuvishambulia, vipo deep underground, mbona kuna picha nyingi tu USA wanazo kuonesha vinu vya Iran vilipo lakini wanafika kushambulia?

Thats why Israel anaishia kuua wanasayansi lakini hawezi kushambulia vinu vya nuclear, kwanza vipo sites zaidi ya moja.

Kibaya zaidi sasa kumbe walikuwa kwenye mazoezi yaliyojumuisha namna ya kuzuia drones kuingia Israel halafu Hezbollah ndio wanapeleka sasa drone kuwapiga picha
Ni kwamba hujaelewa au unajitoa ufahamu?? Mekuambia swala la ndege kuspy anga zimeandikwa na nimekuonesha chanzo.

Ukahoji mbona Israel hawajatoa footages au picha walizopiga Irani ndio nikakuambia hiyo ni siri. Cha ajabu hapo kipi.

Naanza ku-doubt uwezo wako wakujibu hoja ila umekaa kishabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa bhana unaelewa maana ya kuspy??? Yaani amchunguze then aambie dunia "angalieni sehwmu vinu vya irani vpo" intelligence information is kept top secret hadi zifanyiwe kazi.

IDF mpaka anarisk kutuma ndege za mamilion ya dollars plus askari wake pilots halafu aambie dunia????

Bro kuwa serious basi hata kidogo

Hao Hezbollah hata hizo image zimeripotiwa na jpost IDF wamezikupali kwamba ni zao??

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe kwenye huu uzi umeshikwa pabaya ndio maana umeenda kuanzisha uzi mwingine wa kujifariji
 
Hii taarifa nina uzi wake humu sema natumia sim sio rahisi kuusaka .

Taarifa iliripotiwa na Kuwait

Sent using Jamii Forums mobile app

Na walishindwaje kushambulia?
 
Ni kwamba hujaelewa au unajitoa ufahamu?? Mekuambia swala la ndege kuspy anga zimeandikwa na nimekuonesha chanzo.

Ukahoji mbona Israel hawajatoa footages au picha walizopiga Irani ndio nikakuambia hiyo ni siri. Cha ajabu hapo kipi.

Naanza ku-doubt uwezo wako wakujibu hoja ila umekaa kishabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tumalize, ni kwamba Israel hajaingiza ndege Iran, ila Hezbollah wamepeleka drone kwenye anga la Israel.

Hbari za kusadikika unazileta hapa, ukitaka niamini leta footage, kama huna leta chanzo cha gazeti la Iran likithibisha kama Jpost walivyothibitisha.
 
Back
Top Bottom