RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,123
Iran alipo zishambulia base za Marekani nchini Iraq Marekani alifanya nn?jamaa base zao nchini Syria zinapasuliwa kila siku na hakuna kitu wanafanya zaidi ya kulalamika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo base zenyewe ni base gani hizo ambazo wameshambulia kwa miaka mitano na haziishi tu mpaka sasa ,basi haya ni maajabu.
Yaani wana mgambo wanaougwa mkono na Iran ambao hata sio raia wa Iran ndio una waita eti ni wanajeshi wa Iran.