Salutekweli mkuu, nilikosea. Turkey ni ya 4 baada ya USA, France na UK.
Thanks kwa masahihisho
Salutekweli mkuu, nilikosea. Turkey ni ya 4 baada ya USA, France na UK.
Thanks kwa masahihisho
Unataarifa F35 ilipita juu ya anga la Iran undetected???Mpaka drone kwenda kwa juu namna ile tayari usalama upo matatani
In a first-of-its-kind test, the United States has successfully used a small, ship-fired missile to intercept a target Intercontinental Ballistic Missile (ICBM), according to the Missile Defense Agency.Mkuu labda niongee kwa ufupi sana.
Hizo defense system hata kule Iraq kwenye base za USA zilikuwepo.
Basi tufanye hizo cruiser, destroyers na carrier zipo alerted kuna missile inakuja, wanawezaje ku intercept hypersonic missile?
Hypersonic haizuiliki mkuu, inakupiga tu, hata kama bahati ikiwa kwao wakaweka object kwenye njia ya hypersonic missile, Iran wana missiles inakuja moja halafu kwenda kupiga target yanajigawa(cluster war head).
Hizo cluster warhead ndio walitumia kule Iraq.
Kuwa na jeshi kubwa haimaanisha una nguvu kubwa ya kijeshi zipo factors nyingi. Ndio maana Israel as tiny as is is and was aliwakalisha waarabu woote, yes, namaanisha wote maana wengine walitoa majeshi na vifaa hawakwenda kama nchiU mwandishi mzuri lakini nchi yenye nguvu zaidi kijeshi katika NATO baada ya US so Turkey .. Turkey Ni nchi yenye Askari wengi zaidi katika NATO baada ya Us . Na Turkey Ni nchi ya kwanza yenye Jeshi kubwa zaidi Ulaya
Pata elimu kidogo mdogo angu the stealthily of submarines ni kwamba unanyata, unazima mitambo na crew members hamruhusiwi kuongea, sasa kwa mwendo huo utaiviziaje carrier iliyosheheni maraada yanayoditekt miles of milesStealth submarine zipo nyingi tu. Nenda Google andika hivi uletewe majibu bure..
"American navy stealth submarine"
Russian navy stealth submarine"
Ebu weka ushahidi wa hicho unacho kisema.
Ebu weka ushahidi wa hicho unacho kisema.
Maana Iran huwa anatoa video kila anapo kuwa ana zifatilia meli ya Marekani zimejaa YouTube.
Mbona hii habari haijakaa kama uhakika ila ni "yasemekana"?Report: Israeli stealth fighters fly over Iran
Two IAF F-35 Adir fighter jets entered Iranian airspace undetected, according to the Kuwaiti newspaper Al-Jarida.m.jpost.com
Hii taarifa nina uzi wake humu sema natumia sim sio rahisi kuusaka .
Taarifa iliripotiwa na Kuwait
Sent using Jamii Forums mobile app
Israel's F-35s Are Making A Mockery Of Iran's Air Defenses (Maybe)
Iran has its own air defenses, including Russian-made S-300 long-range anti-aircraft missiles.nationalinterest.org
Ni kweli huu uzi niliuona ila hiyo taarifa haikuwa na uhakika kama ni ya kweli.Report: Israeli stealth fighters fly over Iran
Two IAF F-35 Adir fighter jets entered Iranian airspace undetected, according to the Kuwaiti newspaper Al-Jarida.m.jpost.com
Hii taarifa nina uzi wake humu sema natumia sim sio rahisi kuusaka .
Taarifa iliripotiwa na Kuwait
Sent using Jamii Forums mobile app
Israel's F-35s Are Making A Mockery Of Iran's Air Defenses (Maybe)
Iran has its own air defenses, including Russian-made S-300 long-range anti-aircraft missiles.nationalinterest.org
Ni kweli mkuu maana taarifa iliripotiwa na vyombo vya KuwaitNi kweli huu uzi niliuona ila hiyo taarifa haikuwa na uhakika kama ni ya kweli.
Hizi taarifa huwa siri so muhusika hataki ku-confirm maana ni kuchokoza nchi nyingine so anayeona anatoa taarifa inabaki hivyo.Mbona hii habari haijakaa kama uhakika ila ni "yasemekana"?
Mkuu ukiona habari yeyote inayo husiana na eneo la mashariki ya kati haijaripotiwa na Aljazera ,CNN,BBC,DW,huwa ni yakuitilia shaka.
Nikuulize swali alipouliwa yule muuaji solemani na iran akaamua kurusha maroketi iraq kwa carrier si zilikuwepo kuke homz why asipige zile kwa sababu kwanza ndo zilikuwa karibu sana.... PUNGUZAGA MAHABA MKUU iran wa kawaida sana kwa USAMkuu labda niongee kwa ufupi sana.
Hizo defense system hata kule Iraq kwenye base za USA zilikuwepo.
Basi tufanye hizo cruiser, destroyers na carrier zipo alerted kuna missile inakuja, wanawezaje ku intercept hypersonic missile?
Hypersonic haizuiliki mkuu, inakupiga tu, hata kama bahati ikiwa kwao wakaweka object kwenye njia ya hypersonic missile, Iran wana missiles inakuja moja halafu kwenda kupiga target yanajigawa(cluster war head).
Hizo cluster warhead ndio walitumia kule Iraq.
Kama umesoma utajua kwamba aliyeripoti ni vyombo vya Kuwait au taarifa husomi???Mkuu ukiona habari yeyote inayo husiana na eneo la mashariki ya kati haijaripotiwa na Aljazera ,CNN,BBC,DW,huwa ni yakuitilia shaka.
We jamaa unaongea kama uko kwenye kamati ya jeshi la israel.... Punguza mahabaView attachment 1684848
Iran and Israel.
Israel ni nchi ndogo, nirudie tena ni nchi ndogo halafu imejaa kila aina ya taka taka ikiwemo silaha za maangamizi n.k
Mfano Israel kwenda kupiga vinu vya nuclear vya Iran, Iran haiwezi ikakaa kimya lazima wajibu.
Iran ikijibu mashariki ya kati inachafuka, nimeshasikia mara nyingi sana viongozi wa iran wakirudia hili neno "mashariki ya kati itawaka moto".
Israel hawawezi vita nyumbani, Israel hawezi vita vya muda mrefu.
Israel watashindwa kabisa totally kujipanga au kuhimili mapigo kwa muda mrefu, Iran wana proxies wa kutosha middle East.
Tel Aviv
Mkuu hio vita usifikiri ni ile 6 days war, Israel walikuwa wanakwenda kuwapiga waarabu na ndege zao wakiwa jangwani wanafanya mazoezi ya kupasua matofali kwa mikono, Israel akarusha ndege, piga running way akaziachia mashimo, hakuna ndege kuruka, walipotawala anga tu, baaasi Irseal akashinda, sasa vita na Iran haipo hivyo.
Kuanzisha vita na Iran ni kuruhusu Hezbollah na Hamas kuingia Israel, Israel .
Hta serikali ya Israel inajua kabisa.
KWENYE HABARI INAYOMHUSU IRAN INASOMEKA KUWA SIO YA UHAKIKA PUNGUZENI MAHABA IRAN MWEUPE SANANi kweli huu uzi niliuona ila hiyo taarifa haikuwa na uhakika kama ni ya kweli.
Ss hatuna haki ya kuwa na mahaba na Iran ila ww una haki ya kuwa na mahaba na Israel siyo?KWENYE HABARI INAYOMHUSU IRAN INASOMEKA KUWA SIO YA UHAKIKA PUNGUZENI MAHABA IRAN MWEUPE SANA
jamaa base zao nchini Syria zinapasuliwa kila siku na hakuna kitu wanafanya zaidi ya kulalamika tuKWENYE HABARI INAYOMHUSU IRAN INASOMEKA KUWA SIO YA UHAKIKA PUNGUZENI MAHABA IRAN MWEUPE SANA