Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

Mkuu labda niongee kwa ufupi sana.
Hizo defense system hata kule Iraq kwenye base za USA zilikuwepo.

Basi tufanye hizo cruiser, destroyers na carrier zipo alerted kuna missile inakuja, wanawezaje ku intercept hypersonic missile?
Hypersonic haizuiliki mkuu, inakupiga tu, hata kama bahati ikiwa kwao wakaweka object kwenye njia ya hypersonic missile, Iran wana missiles inakuja moja halafu kwenda kupiga target yanajigawa(cluster war head).
Hizo cluster warhead ndio walitumia kule Iraq.
In a first-of-its-kind test, the United States has successfully used a small, ship-fired missile to intercept a target Intercontinental Ballistic Missile (ICBM), according to the Missile Defense Agency.


Endelea kuwaokota Ayatollah wenzako hapo kijiweni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U mwandishi mzuri lakini nchi yenye nguvu zaidi kijeshi katika NATO baada ya US so Turkey .. Turkey Ni nchi yenye Askari wengi zaidi katika NATO baada ya Us . Na Turkey Ni nchi ya kwanza yenye Jeshi kubwa zaidi Ulaya
Kuwa na jeshi kubwa haimaanisha una nguvu kubwa ya kijeshi zipo factors nyingi. Ndio maana Israel as tiny as is is and was aliwakalisha waarabu woote, yes, namaanisha wote maana wengine walitoa majeshi na vifaa hawakwenda kama nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stealth submarine zipo nyingi tu. Nenda Google andika hivi uletewe majibu bure..
"American navy stealth submarine"
Russian navy stealth submarine"
Pata elimu kidogo mdogo angu the stealthily of submarines ni kwamba unanyata, unazima mitambo na crew members hamruhusiwi kuongea, sasa kwa mwendo huo utaiviziaje carrier iliyosheheni maraada yanayoditekt miles of miles

=================++++==============
Silent running is a stealth mode of operation for naval submarines. The aim is to evade discovery by passive sonar by eliminating superfluous noise: nonessential systems are shut down, the crew is urged to rest and refrain from making any unnecessary sound, and speed is greatly reduced to minimize propeller noise.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye natural gas hapo mkuu, Tz tunakosaje kuwa hata namba 2 maake ile kitu ya Mtwara nasikia inaweza lisha dunia kwa miaka mingi sana
 
Ebu weka ushahidi wa hicho unacho kisema.
Maana Iran huwa anatoa video kila anapo kuwa ana zifatilia meli ya Marekani zimejaa YouTube.

Hii taarifa nina uzi wake humu sema natumia sim sio rahisi kuusaka .


Taarifa iliripotiwa na Kuwait

Sent using Jamii Forums mobile app


 

Hii taarifa nina uzi wake humu sema natumia sim sio rahisi kuusaka .


Taarifa iliripotiwa na Kuwait

Sent using Jamii Forums mobile app


Mbona hii habari haijakaa kama uhakika ila ni "yasemekana"?
 

Hii taarifa nina uzi wake humu sema natumia sim sio rahisi kuusaka .


Taarifa iliripotiwa na Kuwait

Sent using Jamii Forums mobile app


Ni kweli huu uzi niliuona ila hiyo taarifa haikuwa na uhakika kama ni ya kweli.
 
Mbona hii habari haijakaa kama uhakika ila ni "yasemekana"?
Hizi taarifa huwa siri so muhusika hataki ku-confirm maana ni kuchokoza nchi nyingine so anayeona anatoa taarifa inabaki hivyo.


Kwa mfano mwanasayansi wa Iran aliyeuawa Israel hajakubali wala kukana kuhusika kwake, na Iran anamnyooshea mkono Israel ila hawezi kuthibitisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu labda niongee kwa ufupi sana.
Hizo defense system hata kule Iraq kwenye base za USA zilikuwepo.

Basi tufanye hizo cruiser, destroyers na carrier zipo alerted kuna missile inakuja, wanawezaje ku intercept hypersonic missile?
Hypersonic haizuiliki mkuu, inakupiga tu, hata kama bahati ikiwa kwao wakaweka object kwenye njia ya hypersonic missile, Iran wana missiles inakuja moja halafu kwenda kupiga target yanajigawa(cluster war head).
Hizo cluster warhead ndio walitumia kule Iraq.
Nikuulize swali alipouliwa yule muuaji solemani na iran akaamua kurusha maroketi iraq kwa carrier si zilikuwepo kuke homz why asipige zile kwa sababu kwanza ndo zilikuwa karibu sana.... PUNGUZAGA MAHABA MKUU iran wa kawaida sana kwa USA
 
View attachment 1684848
Iran and Israel.


Israel ni nchi ndogo, nirudie tena ni nchi ndogo halafu imejaa kila aina ya taka taka ikiwemo silaha za maangamizi n.k
Mfano Israel kwenda kupiga vinu vya nuclear vya Iran, Iran haiwezi ikakaa kimya lazima wajibu.
Iran ikijibu mashariki ya kati inachafuka, nimeshasikia mara nyingi sana viongozi wa iran wakirudia hili neno "mashariki ya kati itawaka moto".
Israel hawawezi vita nyumbani, Israel hawezi vita vya muda mrefu.

Israel watashindwa kabisa totally kujipanga au kuhimili mapigo kwa muda mrefu, Iran wana proxies wa kutosha middle East.
F190417ASFF03-880x495.jpg

Tel Aviv

Mkuu hio vita usifikiri ni ile 6 days war, Israel walikuwa wanakwenda kuwapiga waarabu na ndege zao wakiwa jangwani wanafanya mazoezi ya kupasua matofali kwa mikono, Israel akarusha ndege, piga running way akaziachia mashimo, hakuna ndege kuruka, walipotawala anga tu, baaasi Irseal akashinda, sasa vita na Iran haipo hivyo.

Kuanzisha vita na Iran ni kuruhusu Hezbollah na Hamas kuingia Israel, Israel .
fc00fe37a99e600f7fb567feeb60d469.jpg

Hta serikali ya Israel inajua kabisa.
We jamaa unaongea kama uko kwenye kamati ya jeshi la israel.... Punguza mahaba
 
KWENYE HABARI INAYOMHUSU IRAN INASOMEKA KUWA SIO YA UHAKIKA PUNGUZENI MAHABA IRAN MWEUPE SANA
Ss hatuna haki ya kuwa na mahaba na Iran ila ww una haki ya kuwa na mahaba na Israel siyo?
Leta hoja achana na mambo ya sijui mahaba, kwa sababu huwezi kunipangia nipende upande upi na nichukie upande upi?
Ebu leta list ya mataifa yenye nguvu za kijeshi duniani mwaka 2020 tuone hiyo Israel yako iko namba ngapi na Iran iko nafasi ya ngapi.
Iran mwaka 2020 imeshika nafasi ya 14 kidunia na ya pili katika eneo la mashariki ya kati baada ya Uturuki ,
wakati Israel imeshika nafasi ya 18 na ya 4 mashariki ya kati imezidiwa hadi na saudia.
Na tangu hizo list zianze kutoka hakuna listi ata moja ambayo Israel ilisha kaa juu ya Iran kwa nguvu za kijeshi.
Juzi tu hapa shirika la SIPRI limetoka kuitangaza Iran kuwa ndio nchi yenye mfumo mkubwa sana wa makombora kuliko taifa lolote mashariki ya kati.
Kiinchi chenyewe kina ishi kwa misaada kama nchi za kiafirika lakini mnavyo kakuza uta dhani ni kinchi cha maana.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom