Je, Ipitishwe sheria ya mwanamke kutibiwa na madaktari wa kike tu?

Kutokana na sababu mbalimbali za morphology ya mwanamke na vitu vingine vya kibaiolojia, je kuna uhaja wa Serikali kuweka sheria mwanamke atibiwe na daktari wa kike tu hasa kwenye situations ambazo mwanamke ataonyesha utupu wake, kifua n.k.?
Na kwa wanaume jee? Mbona kuna madaktari wanawake (urologists) ambao nimeshuhudia wakiingiza tyubu kwenye uume (kupitia urethra) kwa wagonjwa wenye matatizo ya kukojoa. Sasa nao wawe madaktari wanaume tu wahudumie wanaume wenzao na wanawake wahudumie wanawake wenzao?
 
Kabisa na kuna haja ya watoto wakatibiwa na madaktari watoto wenzao

Na vichaa wakatibiwa na vichaa wenzao

Na mifugo kama vile mbuzi ikatibiwa na mifugo wenzao kama vile nguruwe
 
Nikutoe wasi wasi ndugu yangu ethics za kazi ya udaktari sijui ina baraka za Mungu.
Yaani kuna maajabu mno katika kazi hiyo.

Sijui unanielewa!!
Mgonjwa hata awe uchi vipi na uzuri lakini unakuta Dr hata muda wa kutamani huna.sijui ni kwa sababu ya kuzoea kuuona mwili wa binadamu.

Ajabu sasa mkeo/mchumba wako akiwa uchi tu kichwa kinabadili mawasiliano.wakat hospital umecheck wagonjwa kibao no kutamani.

Kiufupi usiwe na wasiwasi kabisa mkeo kutibiwa na daktari wa kiume.

Uhh kumbe

Cc Kingsmann
 
Kutokana na sababu mbalimbali za morphology ya mwanamke na vitu vingine vya kibaiolojia, je kuna uhaja wa Serikali kuweka sheria mwanamke atibiwe na daktari wa kike tu hasa kwenye situations ambazo mwanamke ataonyesha utupu wake, kifua n.k.?
huwezi kukumbuka kuwa unachunguliwa wakati ni mgonjwa, pia ukitibiwa na jinsia tofauti kunaleta faraja pia kisaikolojia. Lakini wanawake wengi huogopa wanawake wenzao hasa wakihudumiwa nao kipindi wanaumwa kwelikweli.
 
Kabisa na kuna haja ya watoto wakatibiwa na madaktari watoto wenzao

Na vichaa wakatibiwa na vichaa wenzao

Na mifugo kama vile mbuzi ikatibiwa na mifugo wenzao kama vile nguruwe
Ili iweje?
 
Mkuu watoto wa kike badala ya kuwasomesha mnawatongoza hii hali bado itakuwepo sana tuu
 
Kutokana na sababu mbalimbali za morphology ya mwanamke na vitu vingine vya kibaiolojia, je kuna uhaja wa Serikali kuweka sheria mwanamke atibiwe na daktari wa kike tu hasa kwenye situations ambazo mwanamke ataonyesha utupu wake, kifua n.k.?
Acha wivu wewe mwanamke huyo hukumkuta bikira
 
Siungi mkono hoja,kumtibu mgonjwa wa kike,ni sehemu ya marupurupu ya daktari dume
 
Nikutoe wasi wasi ndugu yangu ethics za kazi ya udaktari sijui ina baraka za Mungu.
Yaani kuna maajabu mno katika kazi hiyo.

Sijui unanielewa!!
Mgonjwa hata awe uchi vipi na uzuri lakini unakuta Dr hata muda wa kutamani huna.sijui ni kwa sababu ya kuzoea kuuona mwili wa binadamu.

Ajabu sasa mkeo/mchumba wako akiwa uchi tu kichwa kinabadili mawasiliano.wakat hospital umecheck wagonjwa kibao no kutamani.

Kiufupi usiwe na wasiwasi kabisa mkeo kutibiwa na daktari wa kiume.
Haya mawazo kufilisika, na watu wa aina yake wamejaa Afghanistan kwa watawala wa taaliban. Hawaruhusu wanawake kuzalishwa na wakunga wa kiume, hakuna wakunga wa kike mahospitalini kwa sababu wanawake wanazuiwa kusoma na waliosoma awali hawaruhusiwi kufanya kazi!
 
Huyo mleta nyuzi ni mjinga au anataka kujaribu kupima kama watu ni wajinga kama yeye.
Kwa mtu aliyekaa darasani anajua kabisa kwamba wanawake ni talented katika nini hata biology wanaifanya in a light touch hivyo madaktari wengi wa kike ni general practioners speciality wanazo ni athesia, ENT, opthalmologist the rest magonjwa nyeti wanaume. sababu kubwa ni miaka mingi darasani mwamke hawezi maliza MD akaongeza 4-7 years speciality lazima awe ameishazaa, akizaa kwisha the brain is no longer able to learn.
Kama ulivyomwamnia aje na madaktari na sheria yake hiyo ya ujinga.

Sijawahi kusoma utumbo Kama huu!!

It’s an ugly experience!
 
The same observation was noticed locally in Saudi Arabia since medical education opportunities have been provided for both genders equally. The latest data from the Saudi Ministry of Health (MOH) in 2017 revealed that the number of female physicians in MOH increased from 4872 in 2006 to 13,239 in 2016...

In Islamic communities women access to education is not a priority. They want to hide them in long black clothes indoors to satisfy men's sexual argues. But are the first one's to demand their female relatives to be treated with a female doctor.
Correct meaning of stupidity
 
Na hata maziko ya mwanamke wawe wanawake wenyewe! Ila unajua walivyo waoga? Ajali tu ikitokea mwanamke ankimbia na kupiga kilio ila mwanamme ana ujasiri
 
Tuacheni madokta tuchezee viungo nyeti vye ke zenuwakati wa kujifungua sisi hatubandiki kucha bandia.wapeni promo ke wenzao watoe Huduma muone watakavyowatoboa na makucha yao
 
Back
Top Bottom