Je, ipi ni pikipiki bora kati ya Haojue na Kinglion

protogonist

Senior Member
Feb 27, 2018
179
226
Wasalaam,

Kama swali linavyojieleza hapo juu ipi ni pikipiki bora kati ya Haojue na Kinglion kuanzia kimuonekano, speed, kudumu na nguvu.

Pia ipi ambayo imeteka sana soko la tz kati ya hizo pikipiki mbili.

Karibuni tujadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama matumizi yako ni kutembelea chukua haojue..kana starehe ila speed mpaka tambarare...
Ila kama kwa ajili ya kazi chukua KINGLION ndo baba lao tatizo mitetemo
Wasalaam,

Kama swali linavyojieleza hapo juu ipi ni pikipiki bora kati ya Haojue na Kinglion kuanzia kimuonekano, speed, kudumu na nguvu.

Pia ipi ambayo imeteka sana soko la tz kati ya hizo pikipiki mbili.

Karibuni tujadili

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan binafsi naonaga pikipiki za mchina zote sawa tu hakuna tofauti. Mitetemo ndio hiyohiyo...... uimara ndio huohuo tu japo huwa tunalazimisha kutafuta tofauti.
Mtazamo wangu lakini!
 
sijajua unasemea haojue ipi kama ni 125.8 hii pikipiki ni nzuri utumiaji wake wa mafuta ni wakawaida na inajitahid kwenye barabara mbovu
ila shida moja zinazotoka saiv zinapiga sana manyanga(tapet zinachapa sana)ukitembea umbali mrefu ikichemka sio kama haojue za mwanzo
kama utakuwa mtaalam wa hiv vi2 pata muda sikilizia engine za haojue za mwanzo na saiv uta elewa nacho kisema

kinglion
ni nzuri inahimili milima na barabara mbovu,ina speed sna, inatumia sana mafuta mengi (150 engine capacity) tofauti na haojue 125-8
* ina vibrate sana kuliko haojue
*tatz jingine la kinglion ni wiring yake usukaji wao ni mbovu ikianza kusumbua wiring
 
Sijui lkn haojue ni Bora zaidi Kwa chases hata engine,,ila sio Kwa kazi ngumu coz bodi yake ni ndogo
 
Back
Top Bottom