Je, ipi ni nafasi ya binadamu linapokuja suala la propaganda za kiimani?

Lazima tujitafakarishe kabla ya kuongea MUNGU sio kiumbe ni Roho safi ndugu zangu wengi wanaokuja kupotosha hapa si watu kama wewe wanajaribu kuidaka roho yako kwa kila namna
 
Tatizo linakuja hakuna mwenye uhakika kuwa Mungu anataka tufanye nini zaidi ya watu kutoka mataifa ya nje kuja na kutuambia Mungu ni mmoja, Mungu ni roho, kuna moto na kadhalika. Haya yote ni madai yaliyoletwa kwetu na binadamu waliokuja kutuvamia kwa bunduki na kutuibia huku wakitupa kitabu kilichoandikwa USIIBE UTAENDA MOTONI.
 
Lazima tujitafakarishe kabla ya kuongea MUNGU sio kiumbe ni Roho safi ndugu zangu wengi wanaokuja kupotosha hapa si watu kama wewe wanajaribu kuidaka roho yako kwa kila namna

Je, Mungu wako ni Mungu mfu au aliye Hai?

Na kama ni Mungu aliye Hai, je sifa ya uhai ni ya kitu gani?

Bila shaka ndugu yangu Binadamu mtakatifu wewe ni mkristo, je roho ni nini kwa mujibu wa maandiko yenu matakatifu?
 
Dini ni maigizo ya wajanja yaliyoundwa kwa kusudio la kuharibu history ya dunia, kuharibu akili na kucontrol jamii za watu, pia kuleta mifarakano na utengano ktk jamii ili iwe rahisi kutawalika na hao waliotunga dini.

Mmiliki wa dini zote ni mmoja,nandye aliyeunda hata hiyo misahafu iitwayo biblia, Quran na kile cha wayahudi.

Hiz zote ni dini znazofuata mafundsho yenye misingi ya ibrahimu wa kusadikika kutokea middle East.

Kisayansi& history ya kwel inapinga uwepo wa wahusika wa hizo dini zote kuwa waliwai kuwepo dunian.

Pia facts zote za kisayansi zinapinga uwepo wa matukio ya uongo yaliopo ktk biblia, mfano Utumwa wa waisrael nchini misri(afrika) mpka sas hakuna ushahid wa mabaki wala nakala zinazoproof uwepo wa watumwa wakiisrael nchin misri kwa miaka 400, so how come tukio kubwa la muda mrefu lisiwe na shahid hata kidogo?

Pia sayans& history inapinga uwepo wa matukio ya bustan ya eden uko wanakodai ilikuwepo, Hakuna shahid zozote hata mabak hakuna.

Sayansi ya uumbaji inakataa mtu wa kwanza kuumbwa (adamu) awe wa races za watu weupe then baadae mtu mweus azaliwe kutoka jamii hiz pasipo muingiliano , tofaut na rangi nyeupe, na ndio ukwel uzao wa mtu mweus hauwez zaliwa kutoka kwa mtu mweupe kama dini zenu znavyowadanganya kuwa tulitoka kwa hamu ambaye ndye mtoto mweusi aliyezaliwa kutoka kwa baba mweupe Nuhu, huo ni uongo mkubwa hakuna muujiza wa hivi na hautowai tokea.

Shahid za uwepo wa huyo mumuitaye yesu Kristo/jesus, huyu nae ni kiumbe wa nadharia aliyeundwa na warumi miaka ya 325A.D at Constantinople meeting iliyojumuishwa na wahuni walioamua kuchukua history za pepo/jini/kiumbe wa kiroho aliyeabudiwa na jamii mbalimbali za kale kwa majina tofaut tofaut mfano ni huyo Krishna, azazel,zeus, na majina mengi sana.

kiumbe huyu inasadikika alizaliwa na mwanamke bikra kwa muingiliano wa pepo na mwanadamu ndpo kikaibuka kitoto chenye nusu ubinadamu na nusu ushetan ktk tarehe ya25.

Na ktk mkutano huo wa hawa wahuni ndpo , uliibuka mfumo mpya wa kuhesabu majira& wakati kwa kuunda kalenda ya kirumi ambayo ilijulkana kama Christ Era , yaani wakati wakristo, ambapo siku na miaka ilianza kuhesabika upya kuanzia kuundwa kwa kristo huyo aitwae yesu ama kwa majina ya kizamani ni Zeus(B.C &A.D).

B.c stand for age before christ introduction

Na mafundisho haya yaliingizwa rasmi ktk ukatoric na baadae katoric ilimeguka na kuunda madhehebu ambayo licha kupinga ukatoric na mafundsho yake lkn hayakuacha misingi mikuu ya ukatoric ambayo imebase ktk Miungu ya kale ambapo pia yumo huyo jesus Chris.

Baadae ukatoric ulpofeli kuenea dunia nzima hususan uarabun na Asia ndpo washenz wa uroma waliintroduce mafundisho yao na hadith zao kwa mtume wa dini kongwe ya uislam kwa kumuhadaa na ndipo likaibuka chimbuko la uislam ambao mafundisho yake baadhi yalibase kwa hawa warumi na ndilo lilikuwa tegemeo lao.

Target kuu ya hizi dini ilikuwa Ni Afrika maana Original copies ya stori zao za misahafu ilitoka ktk matukio na maisha ya mashujaa walioisha baran Afrika na walikuwa watu weusi.

Ujuwe kuwa afrika ilikuwa ikitamaniwa tangu karne na karne, na walishindwa kuitawala sabbu waafrika walkuwa wenye Nguvu walizotegemea toka kwa Viumbe wa kiroho(malaika), nguvu ambazo ziliwafanya wawashinde adui zao.

Viumbe hawa ndio waliwapa maarifa watu weusi ktk technologies za ujenzi e.g mapiramidi, sayansi ya afya za upasuaji na madawa, sayansi ya anga na nyota, sayansi ya umeme, haya mambo ndyo yaliioa nguvu afrika ya kale kuwa Falme tajiri na kubwa dunia nzima

Maadui wa afrika walpogundua hilo kupitia vibaraka wa kiafrika waliokuwa wakivujisha siri, ndipo hawa adui zetu walpotumia huo mwanya wakumuondoa mtu mweusi kutoka ktk asili yake na kumfanya atengane na Muumba wake kwa kukumbatia miungu migeni ambayo ndyo ilitoka ktk hizo dini ngeni ambazo hazkuwa na msaada wowote zaid ya kudanganya, kuharibu akili ya mwili, nafsi na roho ya mtu mweusi ili aache utu wake na kuwa mtu wa kidunia kama walivyo hao aliens yaani watu weupe wote ambao si wakazi halali wa hii dunia.

Mafundisho haya huwez yapata ktk hayo magenge yenu ya dini, kwakuwa dini hazitaki ukwel ujulkane.
View attachment 2101785
Kama dini ni maigizo, basi hakuna Mungu, na kama hakuna Mungu unadhani sisi binadamu n akina nan, TUMETOKA WAPI? tunaenda wap?. Na dunia ilitoka wap??

Unasema Dini zilikuja kuharibu Historia ya dunia, historia gani hiyo?

naturalists mnapinga dini Ila actually inaitaji Imani kubwa sana kuamini kwamba dunia haikumbwa, (Hakuna Muumbaji Mungu)).
 
Nimependa swali ulilomuuliza Ushindi victory , ila mimi nnamtazamo huu:
Wote wanaodai kuna Mungu au hakuna
Mungu hawana njia ya kuthibitisha chochote. Mimi siamini dini lakini sina uhakika kuhusu idadi ya Miungu iliyowahi kuwepo, kama bado ipo au kama ilikuwepo ikatoweka. Kujibu maswali yako:
1. Tumetoka wapi: tumejikuta tushazaliwa, kuhusu babu zetu wakwanza hakuna wa kuthibitisha chochote kile.
2. Tunaenda wapi na dunia ilitoka wapi: hakuna wa kuthibitisha mwisho wetu wala mwanzo wa dunia.
 
Dini ni maigizo ya wajanja yaliyoundwa kwa kusudio la kuharibu history ya dunia, kuharibu akili na kucontrol jamii za watu, pia kuleta mifarakano na utengano ktk jamii ili iwe rahisi kutawalika na hao waliotunga dini.

Mmiliki wa dini zote ni mmoja,nandye aliyeunda hata hiyo misahafu iitwayo biblia, Quran na kile cha wayahudi.

Hiz zote ni dini znazofuata mafundsho yenye misingi ya ibrahimu wa kusadikika kutokea middle East.

Kisayansi& history ya kwel inapinga uwepo wa wahusika wa hizo dini zote kuwa waliwai kuwepo dunian.

Pia facts zote za kisayansi zinapinga uwepo wa matukio ya uongo yaliopo ktk biblia, mfano Utumwa wa waisrael nchini misri(afrika) mpka sas hakuna ushahid wa mabaki wala nakala zinazoproof uwepo wa watumwa wakiisrael nchin misri kwa miaka 400, so how come tukio kubwa la muda mrefu lisiwe na shahid hata kidogo?

Pia sayans& history inapinga uwepo wa matukio ya bustan ya eden uko wanakodai ilikuwepo, Hakuna shahid zozote hata mabak hakuna.

Sayansi ya uumbaji inakataa mtu wa kwanza kuumbwa (adamu) awe wa races za watu weupe then baadae mtu mweus azaliwe kutoka jamii hiz pasipo muingiliano , tofaut na rangi nyeupe, na ndio ukwel uzao wa mtu mweus hauwez zaliwa kutoka kwa mtu mweupe kama dini zenu znavyowadanganya kuwa tulitoka kwa hamu ambaye ndye mtoto mweusi aliyezaliwa kutoka kwa baba mweupe Nuhu, huo ni uongo mkubwa hakuna muujiza wa hivi na hautowai tokea.

Shahid za uwepo wa huyo mumuitaye yesu Kristo/jesus, huyu nae ni kiumbe wa nadharia aliyeundwa na warumi miaka ya 325A.D at Constantinople meeting iliyojumuishwa na wahuni walioamua kuchukua history za pepo/jini/kiumbe wa kiroho aliyeabudiwa na jamii mbalimbali za kale kwa majina tofaut tofaut mfano ni huyo Krishna, azazel,zeus, na majina mengi sana.

kiumbe huyu inasadikika alizaliwa na mwanamke bikra kwa muingiliano wa pepo na mwanadamu ndpo kikaibuka kitoto chenye nusu ubinadamu na nusu ushetan ktk tarehe ya25.

Na ktk mkutano huo wa hawa wahuni ndpo , uliibuka mfumo mpya wa kuhesabu majira& wakati kwa kuunda kalenda ya kirumi ambayo ilijulkana kama Christ Era , yaani wakati wakristo, ambapo siku na miaka ilianza kuhesabika upya kuanzia kuundwa kwa kristo huyo aitwae yesu ama kwa majina ya kizamani ni Zeus(B.C &A.D).

B.c stand for age before christ introduction

Na mafundisho haya yaliingizwa rasmi ktk ukatoric na baadae katoric ilimeguka na kuunda madhehebu ambayo licha kupinga ukatoric na mafundsho yake lkn hayakuacha misingi mikuu ya ukatoric ambayo imebase ktk Miungu ya kale ambapo pia yumo huyo jesus Chris.

Baadae ukatoric ulpofeli kuenea dunia nzima hususan uarabun na Asia ndpo washenz wa uroma waliintroduce mafundisho yao na hadith zao kwa mtume wa dini kongwe ya uislam kwa kumuhadaa na ndipo likaibuka chimbuko la uislam ambao mafundisho yake baadhi yalibase kwa hawa warumi na ndilo lilikuwa tegemeo lao.

Target kuu ya hizi dini ilikuwa Ni Afrika maana Original copies ya stori zao za misahafu ilitoka ktk matukio na maisha ya mashujaa walioisha baran Afrika na walikuwa watu weusi.

Ujuwe kuwa afrika ilikuwa ikitamaniwa tangu karne na karne, na walishindwa kuitawala sabbu waafrika walkuwa wenye Nguvu walizotegemea toka kwa Viumbe wa kiroho(malaika), nguvu ambazo ziliwafanya wawashinde adui zao.

Viumbe hawa ndio waliwapa maarifa watu weusi ktk technologies za ujenzi e.g mapiramidi, sayansi ya afya za upasuaji na madawa, sayansi ya anga na nyota, sayansi ya umeme, haya mambo ndyo yaliioa nguvu afrika ya kale kuwa Falme tajiri na kubwa dunia nzima

Maadui wa afrika walpogundua hilo kupitia vibaraka wa kiafrika waliokuwa wakivujisha siri, ndipo hawa adui zetu walpotumia huo mwanya wakumuondoa mtu mweusi kutoka ktk asili yake na kumfanya atengane na Muumba wake kwa kukumbatia miungu migeni ambayo ndyo ilitoka ktk hizo dini ngeni ambazo hazkuwa na msaada wowote zaid ya kudanganya, kuharibu akili ya mwili, nafsi na roho ya mtu mweusi ili aache utu wake na kuwa mtu wa kidunia kama walivyo hao aliens yaani watu weupe wote ambao si wakazi halali wa hii dunia.

Mafundisho haya huwez yapata ktk hayo magenge yenu ya dini, kwakuwa dini hazitaki ukwel ujulkane.
View attachment 2101785
 
Dini ni maigizo ya wajanja yaliyoundwa kwa kusudio la kuharibu history ya dunia, kuharibu akili na kucontrol jamii za watu, pia kuleta mifarakano na utengano ktk jamii ili iwe rahisi kutawalika na hao waliotunga dini.

Mmiliki wa dini zote ni mmoja,nandye aliyeunda hata hiyo misahafu iitwayo biblia, Quran na kile cha wayahudi.

Hiz zote ni dini znazofuata mafundsho yenye misingi ya ibrahimu wa kusadikika kutokea middle East.

Kisayansi& history ya kwel inapinga uwepo wa wahusika wa hizo dini zote kuwa waliwai kuwepo dunian.

Pia facts zote za kisayansi zinapinga uwepo wa matukio ya uongo yaliopo ktk biblia, mfano Utumwa wa waisrael nchini misri(afrika) mpka sas hakuna ushahid wa mabaki wala nakala zinazoproof uwepo wa watumwa wakiisrael nchin misri kwa miaka 400, so how come tukio kubwa la muda mrefu lisiwe na shahid hata kidogo?

Pia sayans& history inapinga uwepo wa matukio ya bustan ya eden uko wanakodai ilikuwepo, Hakuna shahid zozote hata mabak hakuna.

Sayansi ya uumbaji inakataa mtu wa kwanza kuumbwa (adamu) awe wa races za watu weupe then baadae mtu mweus azaliwe kutoka jamii hiz pasipo muingiliano , tofaut na rangi nyeupe, na ndio ukwel uzao wa mtu mweus hauwez zaliwa kutoka kwa mtu mweupe kama dini zenu znavyowadanganya kuwa tulitoka kwa hamu ambaye ndye mtoto mweusi aliyezaliwa kutoka kwa baba mweupe Nuhu, huo ni uongo mkubwa hakuna muujiza wa hivi na hautowai tokea.

Shahid za uwepo wa huyo mumuitaye yesu Kristo/jesus, huyu nae ni kiumbe wa nadharia aliyeundwa na warumi miaka ya 325A.D at Constantinople meeting iliyojumuishwa na wahuni walioamua kuchukua history za pepo/jini/kiumbe wa kiroho aliyeabudiwa na jamii mbalimbali za kale kwa majina tofaut tofaut mfano ni huyo Krishna, azazel,zeus, na majina mengi sana.

kiumbe huyu inasadikika alizaliwa na mwanamke bikra kwa muingiliano wa pepo na mwanadamu ndpo kikaibuka kitoto chenye nusu ubinadamu na nusu ushetan ktk tarehe ya25.

Na ktk mkutano huo wa hawa wahuni ndpo , uliibuka mfumo mpya wa kuhesabu majira& wakati kwa kuunda kalenda ya kirumi ambayo ilijulkana kama Christ Era , yaani wakati wakristo, ambapo siku na miaka ilianza kuhesabika upya kuanzia kuundwa kwa kristo huyo aitwae yesu ama kwa majina ya kizamani ni Zeus(B.C &A.D).

B.c stand for age before christ introduction

Na mafundisho haya yaliingizwa rasmi ktk ukatoric na baadae katoric ilimeguka na kuunda madhehebu ambayo licha kupinga ukatoric na mafundsho yake lkn hayakuacha misingi mikuu ya ukatoric ambayo imebase ktk Miungu ya kale ambapo pia yumo huyo jesus Chris.

Baadae ukatoric ulpofeli kuenea dunia nzima hususan uarabun na Asia ndpo washenz wa uroma waliintroduce mafundisho yao na hadith zao kwa mtume wa dini kongwe ya uislam kwa kumuhadaa na ndipo likaibuka chimbuko la uislam ambao mafundisho yake baadhi yalibase kwa hawa warumi na ndilo lilikuwa tegemeo lao.

Target kuu ya hizi dini ilikuwa Ni Afrika maana Original copies ya stori zao za misahafu ilitoka ktk matukio na maisha ya mashujaa walioisha baran Afrika na walikuwa watu weusi.

Ujuwe kuwa afrika ilikuwa ikitamaniwa tangu karne na karne, na walishindwa kuitawala sabbu waafrika walkuwa wenye Nguvu walizotegemea toka kwa Viumbe wa kiroho(malaika), nguvu ambazo ziliwafanya wawashinde adui zao.

Viumbe hawa ndio waliwapa maarifa watu weusi ktk technologies za ujenzi e.g mapiramidi, sayansi ya afya za upasuaji na madawa, sayansi ya anga na nyota, sayansi ya umeme, haya mambo ndyo yaliioa nguvu afrika ya kale kuwa Falme tajiri na kubwa dunia nzima

Maadui wa afrika walpogundua hilo kupitia vibaraka wa kiafrika waliokuwa wakivujisha siri, ndipo hawa adui zetu walpotumia huo mwanya wakumuondoa mtu mweusi kutoka ktk asili yake na kumfanya atengane na Muumba wake kwa kukumbatia miungu migeni ambayo ndyo ilitoka ktk hizo dini ngeni ambazo hazkuwa na msaada wowote zaid ya kudanganya, kuharibu akili ya mwili, nafsi na roho ya mtu mweusi ili aache utu wake na kuwa mtu wa kidunia kama walivyo hao aliens yaani watu weupe wote ambao si wakazi halali wa hii dunia.

Mafundisho haya huwez yapata ktk hayo magenge yenu ya dini, kwakuwa dini hazitaki ukwel ujulkane.
View attachment 2101785
Akili kubwa Sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom