Je, Intelijensia ya Jeshi (JKT) haina uwezo wa kung'amua mambo ndani ya Jeshi?

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Nimemsikiliza Jana CDF Jenerali Mabeyo akisema Kwamba takriban Vijana 854 wamefukuzwa Jeshi kwa Kufanya maandamano na Kugoma ambapo alisema ni uasi.

Je, Hao Vijana Kama Walikuwa na Uwezo Wa Kupanga na Kufanya Uasi ndani ya Jeshi ina maana intelijensia ya Jeshi Haina Uwezo Wa Kugundua Hivi Vitu na Kuzima Hizi Harakati za Hawa Vijana Mapema?

Haya wanaondolewa Jeshini na Wana kila Aina ya Mafunzo Je Wakiwa uraiani Watafuatiliwaje Ili wasifanye Madhara Yoyote Kwa Wananchi au Wanaweza Kujiunga Hata na Magenge Ya Uhalifu.

Je, wataachwa kiholela bila Kufuatiliwa Serikali ikajua wanafanya nn?

Cc MtamaMchungu JokaKuu
 
Nimemsikiliza Jana Cdf Mabeyo akisema Kwamba takribani Vijana 854 wamefukuzwa Jeshi kwa Kufanya maandamano na Kugoma ambapo alisema Ni Uamini...
Unavyosema wana kila aina ya mafunzo una maanisha nini...!?

Hawa wamepitia tu huko jkt miaka mitatu, tena zaidi walikuwa wanajishughulisha na shughuli za ujenzi na mafunzo waliyoyapata jeshini huko ni haifiki hata 5% ya mafunzo ya jeshi!

Sasa wewe unakurupuka eti wana kila aina ya mafunzo!

Hao hata raia wa kawaida ambaye hajapitia hata mgambi anaweza kuwakunja!
 
Nimemsikiliza Jana Cdf Mabeyo akisema Kwamba takribani Vijana 854 wamefukuzwa Jeshi kwa Kufanya maandamano na Kugoma ambapo alisema Ni Uamini...
Mi naona kama ametupiga kamba tu. Ni kama kitisho kwa kundi fulani pengine linaonesha kutokuwa pamoja naye.
 
Nimemsikiliza Jana Cdf Mabeyo akisema Kwamba takribani Vijana 854 wamefukuzwa Jeshi kwa Kufanya maandamano na Kugoma ambapo alisema Ni Uamini.

Je Hao Vijana Kama Walikuwa na Uwezo Wa Kupanga na Kufanya Uasi ndani ya Jeshi ts means intelijensia ya Jeshi Haina Uwezo Wa Kugundua Hivi Vitu na Kuzima Hizi Harakati za Hawa Vijana Mapema?

Haya wanaondolewa Jeshini na Wana kila Aina ya Mafunzo Je Wakiwa uraiani Watafuatiliwaje Ili wasifanye Madhara Yoyote Kwa Wananchi au Wanaweza Kujiunga Hata na Magenge Ya Ualifu. Je wataachwa kiholela bila Kufuatiliwa Serikali ikajua wanafanya nn?

Cc MtamaMchungu JokaKuu
Kila wakitaka kufungua kesi ,wanatishwaa

Mmoja wa kijana aliyekua na familia, akaona njia pekee ni kufanya ujambazi maana Hela hamna,hajui aanzie wapi.

Akiwa na wenzake, Mwaka Jana, Alipigwa Risasi akafa palepale.

Yote haya ni matokeo ya wizi ulioko huko ndan

Unaambiwa, ukionyesha dalili za kudai haki yako , basi unapewa Kesi ya UHAINI,UBAKAJI,KUJATARISHA USALAMA.

wapo mtaani .. Ukumbuke mpaka wanafungwa, walikua hawajapewa mshahara wa miezi sita .

Na wanaachiwa, wanapewa hela ya kuwafikisha kwao.

Vijana awakujua
Kazi ya jeshi = UTII bila maswali
 
Ila navyofahamu hizo kesi zilikua zinaondolewa kwa kuwa na mapungufu ya kisheria (technicalities) ,

Any ways, niishie hapa. Mambo yao hao tuwaachie wenyewe.
 
Mwaka 2013 vijana walokua wanafanya mafunzo ya ukomandoo morogoro.

Posho zao zikawa zinapigwa na kuliwa nawakubwa ,NDOMBA .

vijana wakaamua kwenda Lugalo kwaajili ya kulalamikia Stahiki zao.

Wakageuziwa kesi kuwa ni wahini, wamebaka, nakupora mali za raia.

Wakafunguliwa kesi nakufungwa miaka 15 kila mmoja, (walokwenda Lugalo walikua takiriban 60 + )

Walofungwa ni 30.

Ndugu wa vijana wakapambana mpaka kwa Waziri mwinyi, wazirikuu n.k

Wakapunguziwa kifungo, ambapo waliachiwa huru 2017 na kufukuzwa kabisa kazi, bila stahiki zaooo.
ulikuwa mmoja wao?
 
Back
Top Bottom