Je, inawezekana REA na EWURA zikaunganishwa kuwa kitu kimoja ili kupunguza administration cost?

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Wadau binafsi napenda sana JPM anavyopiga kazi ukipita ubungo sasa hv shaaaa! Busisi ikikuwa kero. Serikalini kumenyooka.

Maoni yangu kama serikali inaweza kuunganisha EWURA na REA kuwa kitu kimoja kwa sababu wote wana-deal na huduma za energy.

Kama EWURA kazi yao ku-control mambo ya mafuta na rea kuhakikisha umeme unafika kijijini.

Je, inawezekana kabisa REA na EWURA zikaunganishwa kuwa kitu kimoja ili kupunguza administration cost kwa maana kwamba watakuwa na DG mmoja tu kama ilivyofanya TFDA Kupelekwa TBS?
 
REA na EWURA wapi na wapi chief.. mwisho wa siku utasema na Tanesco nao iungane nao
 
Back
Top Bottom