Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Ni kweli, kuna demu nili-date nae mwaka mzima kumbe alikuwa kaungua.(Nilimpima kabisa kuhakikisha). Nikaachana nae then nikakaa miezi kama 7 hivi naogopa kujipima.
Ila kuna siku nikajikaza nikaamua kujipima ila Alhamdulillah niko salama.
 
Ni kweli, kuna demu nili-date nae mwaka mzima kumbe alikuwa kaungua.(Nilimpima kabisa kuhakikisha). Nikaachana nae then nikakaa miezi kama 7 hivi naogopa kujipima.
Ila kuna siku nikajikaza nikaamua kujipima ila Alhamdulillah niko salama.
Mkuu unakula kavu na hamjapima? Daah kuna watu majasiri aisee.
 
JF ni darasa.nimesoma posts na comments zote za hii tread(Uzi).kwenye hii thread Deception amenifurahisha na kunielimisha.viva JF.

Sasa wewe wavue tu chupli mademu kwa fujo bila kinga.......... utakapo ukwaa na kuanza kuumwa Ukimwi huyo rafiki yako wa kuokoteza mataka taka yake mitandaoni atakua hayupo wala uki pm hatakujibu

Dunia ya leo ukizama mitandaoni utapata exactly kile unachokitaka kukiamini wewe
Ukiamua kuzama kujiridhisha hakuna Ukimwi/vvu utapata kila kitu kutoka kwa maprofesa hadi vilaza, the same na ukitaka kujua kama upo

Ogopa sana kujadili na mtu anayeanza kuku undermine kwamba umefunga akili, waTz ni wajinga kutafuta maarifa, umekuja kiubishi, haupo tayari kueleweshwa nk nk
Na atakusifia utakapo kubaliana na yeye au kuuliza swali ambalo anajua anaufafanuzi nalo

Kuamini ukimwi upo unajiweka kwenye safe side zaidi kuliko kutoamini
Achana na ngono zembe
Ukimwi upo na unaua

Nimezika ndugu na jamaa wengi sana kabla hata mashudu hayajaingia
Nimefukia ndungu na jamaa zangu kadhaa baada ya kugoma kabisa kutumia mashudu kwa imani hakuna aids

Dunia sasa hivi imebadilika sana kiteknolojia, kuna nchi za Asia huko China Korea wako mbali sana kitabibu na hawafuati mkumbo wa magharibi kama sisi lakini still nahangaika na Hiv/Aids
Huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote
 
Kuna aina fulani ya vyakula kama utakuwa na mazoea ya kula ndio utafanikiwa kuweka damu sawa.Baadhi ya vyakula hivyo ambavyo vinapatikana hapa kwetu kirahisi ni;
-Limao/lemon/lime
-Mineral water
-Nanasi
-Maboga na hasa mbegu zake
-Vitunguu
-Sea salt
-Viazi vitamu
-Juisi ya mboga za majani hasa zile za kijani sana mfano;spinachi,tembele nk
-Tikiti
-Tufaa/apple
-Broccoli
-Karoti
-Kitunguu saumu
-Tangawizi
-Embe
-Olive oil
-Kabichi
-Parachichi
-Green tea
-Komamanga
-Bilinganya
-Bamia

Vipo vyakula vingi sana,ila hivyo hapo juu ni baadhi ambavyo vina uwezo mkubwa wa kuweka sawa pH ya damu.
Bro naomba unitumie namba yako nashida na ww
 
Swali la msingi sana mkuu;
Mimi nina ndugu yangu nimeshamwachisha ARVs baada ya kuzitumia kwa miaka saba(7 Years).Sasa hivi yuko safi na haumwi chochote miaka imeshapita.Najua kuna watu wajinga watakurupuka na kupinga hili jambo huku wakitoa vitisho,mimi ninayejua nitacheka tu.

Sasa basi;Mtu kama huyo kuna mambo kadhaa anatakiwa kufanya,lakini mwisho wa siku anatakiwa kuacha kabisa kutumia ARVs.Lakini kwa sasa hatakiwi kuziacha ARVs ghafla,narudia tena,hatakiwi kuacha ARVs ghafla mpaka apitie taratibu fulani.Hata wanaotumia madawa ya kulevya kuna taratibu wanapitia ili kuyaacha,sio ghafla tu,ARVs nazo ziko vivyo hivyo.
La msingi hapa;
-Inabidi nijue ana muda gani tangu aanze kutumia ARVs
-Kuna tatizo lolote linalomsumbua kwa sasa?kama lipo/yapo,ni matatizo gani hayo?

Baada ya kujua hayo,ndio nitaanza kukupa ushauri.Lakini si hapa,utani PM.
Nisadie namb ako ya WhatsApp kwa mawasiliano zaid
 
Back
Top Bottom