Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

HQ sina hamu nazo... mzunguko na utokaji wa hyo kitu tafrani na zawadi ya kijipu juu.... nmeamua kurudi enzi za mwalimu sahiv nipo salama, sio mambo ya mabaridi bila feni..!
 
Yule mama anayetengeneza pedi za HC aliwahi sema ukipata shida baada ya kutumia product yake umtafute personally na atakupeleka kwa wataalamu wakufanyie examination,ikigundulika ni pad ya HC ndo imekufanya hivo atakulipa gharama zote. She seems much sure with her products
kuna wengine nyuchi zao hazipendi luxury waachwe tu wavae nailoni zao.

Rubiikimimi
 
Ungeweka hapa basi tuelimike wote..mie najitahidi sana kubadili pad ila huwa zinanichubua sijui kwa nini.natafuta mbadala wake

love thé love or hâte thé love.....
a78740071ed4d1f1ee215952e23fdcc2.jpg

kudu ukudulie umande, mvua haina ukuduzi
 
Yule mama anayetengeneza pedi za HC aliwahi sema ukipata shida baada ya kutumia product yake umtafute personally na atakupeleka kwa wataalamu wakufanyie examination,ikigundulika ni pad ya HC ndo imekufanya hivo atakulipa gharama zote. She seems much sure with her products
Kauli za biashara hizi ndugu yangu

kudu ukudulie umande, mvua haina ukuduzi
 
Mi pedi zinaniwashaga balaa. . Ila HC naona ni nzuri nilisahau kuwashwa kabisa, ila watu walinitisha kuniambia sio nzuri
 
Yule mama anayetengeneza pedi za HC aliwahi sema ukipata shida baada ya kutumia product yake umtafute personally na atakupeleka kwa wataalamu wakufanyie examination,ikigundulika ni pad ya HC ndo imekufanya hivo atakulipa gharama zote. She seems much sure with her products
Wafanyabiashara wote ndio kauli zao hizi...halaf ukishapata kansa hata ukipewa hela zote za duniani zitakusaidia nn?!
 
Yule mama anayetengeneza pedi za HC aliwahi sema ukipata shida baada ya kutumia product yake umtafute personally na atakupeleka kwa wataalamu wakufanyie examination,ikigundulika ni pad ya HC ndo imekufanya hivo atakulipa gharama zote. She seems much sure with her products
Itakua hao wanatumia fake.... maana kuna fake pia so vema mtu kununua duka la dawa ndio kuna original.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
HQ sina hamu nazo... mzunguko na utokaji wa hyo kitu tafrani na zawadi ya kijipu juu.... nmeamua kurudi enzi za mwalimu sahiv nipo salama, sio mambo ya mabaridi bila feni..!
Enzi za mwalimu you mean vitambaa au....

Back
Top Bottom