Je, inawezekana kweli kutengeneza pesa kama Freelancer? (With Proof) papa nitaonyesha kila kitu

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
767
1,655
Peace everybody!

Leo tunakutana tena katika darasa muhimu kabisa ambapo leo nitajibu swali je, inawezekana Kutengeneza pesa kama Freelancer au ni kupoteza muda tu?

Jibu la swali hili ni muhimu kwasababu itakusaidia wewe mwenyewe ufanye maamuzi uanze kupiga kazi leo kama Freelancer au uendelee tu na Hustle zako za siku zote.

Hapa nitakuwa very honest.

Nitaonyesha baadhi ya mifano iwpao mimi mwenyewe ninapata hizi kazi au ni blah blah tu.

Kwa kuanza naomba niseme Online Freelancing ni nini ili wale ambao hawafahamu waelewe Na kama watapendezwa waanze kutumia fursa hii.

Ok.

Online Freelancing maana yake kwa lugha rahisi ni kufanya kazi mtandaoni katika majukwaa (site/website) ukiuza ujuzi wako na wewe kulipwa pesa.

Ujuzi unaweza kuwa Over the Phone Interpreter, English/Swahili translation, Proofreading and editing, Transcription, Web development, Coding, Facebook Ad expert, Article writing, Blog writing, SEO expert na skill nyingine nyingi.

Kinachofanyika ni kwamba unaunda account yako kama freelancer kwneye site uliyochagua. Unaandika profile iliyoshiba, unaweza picha yako profile ukiwa smart, baada ya hapa utakuwa tayari kuanza ku-apply kazi zinazoendana na ujuzi wako.

Client akikujibu mara moja unaanza kupiga kazi na ukimaliza utalipwa kupitia account yako ya Bank kama ukivyoweka wakati unaunda account yako.

Account inaweza kuwa Crbd, Nmb, Equity, Exim na nyingine yoyote.

Jambo la msingi hapa kufahamu ni SWIFT CODE ya bank yako.

Kwamfano Crbd ni CORUTZTZ.

Hapo unakuwa umekamilisha jinsi utakavyopokea malipo.

Isn’t that easy?

Ok sasa twende kwenye darasa la leo.

Ready?

1 • Ndiyo inawezekana Kutengeneza pesa kama utakuwa unafahamu jinsi yakupata job offer clients wanazo advertise.

Binafsi nafanya kazi nyingi.

Imefika sehemu kila kazi nayo apply lazima nipate.

Kwa waliosoma uzi wangu uliopita waliona proof za client sio tu kujibu proposal zangu bali pia wenyewe kunifuata na kuniuliza iwapo nipo available kwa kazi.

IMG_5964.JPG


Huyo aliniuliza kama nipo na muda wakufanya kazi yake ndogo.

Hii kazi sikufanya.

Nipo sasa hivi napiga kazi kubwa more that 6+ months project nikifanya kazi kama Over the Phone Interpreter.

IMG_6062.JPG


Hiyo picha ndiyo jinsi ninavyofanya kazi kama Over the Phone Interpreter.

Tunaingia kwenye meeting (online) na kazi inaanza.

Kwa kawaida Over the Phone Interpreter kazi yangu ni kusaidia kutafsiri lugha kati ya watu wawili wanaotaka kuongea lakini hawatumii lugha moja.

Kwa mfano watu wawil wanaozungumza English man Kiswahili.

Tafsiri inaweza kuhusu masuala ya Afya, Kilimo, Biashara au jambo lolote lile.

Ok.

Ngoja nitoe proof nyingine

IMG_6069.JPG


Huyo ni dada wa kichina anayetaka kufundishwa Kiswahili kwa saa moja kwa siku.

She pays $19

Hiyo kazi nili apply jana jioni.

Leo alfajjri ameshanijibu.

Na tayari nimesha seal the deal kwahiyo leo jioni darasa linaanza.

Kumbuka proof nilizotoa ni toka zaidi ya mtandao mmoja wa Freelancing.

Hapo kuna client toka UpWork lakini pia Freelancer.com

Ok.

Nikirudi kwenye point yangu ni kwamba mpaka ufahamu “how to get client respond to your proposal” you won’t land a job on any Freelancing site.

Inabidi hapa ujifunze mbinu.

And I’m glad to say I can help you.

2 • Inabidi uwe active kuongeza chance yako yakupata job offer.

Unajua nini?

Some people are so lazy.

Kujibu tu Email inaweza tumia siku 4 🤨

My friend, kama upo hivi you won’t make it.

Unahitaji uwe active.

Kuwa mkweli na jibu kila message unayotumiwa na client iwapo uli apply kazi.

Binafsi najibu Email muda huo huo.

Hii inasaidia kumfanya client anione I’m the perfect one for the job.

Na niseme tu ukiweza kupata zaki kama Online Freelancer basi wewe uwezo wako ni mkubwa sana wakushinda interview yoyote ile.

Kumbuka Online Freelancing inahusisha watu wa mataifa ya nje kwahiyo ukiweza kujieleza vema na kweli watu kukuona unafaa hiyo maana yake unauwezo mkubwa wakuelezea Skills zako na kupata kazi.

Hii sehemu watu wengi wana fail kwasababu hawana confidence kwahiyo hata kwenye maandishi yao inaonyesha.

Nafahamu hili kwasababu nafanya kazi na watu wengi toka mataifa tofauti.

3 • Tumia muda kujifunza kila kitu kuhusu mbinu zakuwa Freelancer mwenye mafanikio.

Vipi hapo?

Unajua kuna watu baada ya kusoma hapa watakimbilia kwenye freelance site na kuunda account hata bila kufahamu sana wanaenda kufanya nini.

Wapo tayari kupoteza pesa nyingi kwenye mambo ya kawaida tu lakini they won’t spend a penny kujifunza maarifa yatakao wafaa sana kuanza sasa hivi.

I’m encouraging you to learn everything about Freelancing first.

Kuna mbinu nyingi sana utajifunza kama utafuata ushauri huu.

Na ukienda kuanza baada ya kujifunza chances are utafanikiwa haraka kwasababu unafahamu nini chakufanya na kipi usifanye.

4 • Kuwa na subira. Good things go to those who wait.

Sijui niseme vipi kuweka msisitizo hapa.

Subira ni jambo la muhimu sana.

Kamwe usitegemee umejifunza leo freelancing basi kesho ukifungua account, ukaa apply job offer siku inayofuata basi utapata hiyo kazi kesho.

Hii labda inawezekana lakini usiwe na mindset hii.

Hakikisha ume apply at least kazi 7 ndiyo uone iwapo kama kuna jambo laku improve katika profile yako au aina yako ya uandishi wa proposal.

Mara nyingi Freelancer wengi (hata wale waliojiunga miaka mingi) hawajibiwi proposal zao kwasababu hawafahamu lolote jinsi yakuandika proposal YENYE UHAI.

Wengi wanatumia ule mtindo wa kizamani “mimi nina experience ya miaka 10 pia nina degree”

No one cares about that.

Client is only interested into a freelancer who can deliver. Not 10 year experience or a degree.

5 • Sasa nakutaka uchukue hatua uanze Online Freelancing right NOW.

Ok.

Haya yote niliyoandika hayatakuwa na maana iwapo hutoyafanyia kazi.

Unahitaji kuanza right NOW.

Kuahirisha mambo ndiyo adui yako.

You need to start somewhere.

Na kwakuanza unaweza nitumia Email kwenda makingmoneyonlinetz@gmail.com

Alright.

Ngoja niishie hapa kwa leo.

Tukutane tena siku nyingie kwenye darasa amazing kama hili.

Cheers 🥂
 
Binafsi nafikiri kuwa Online Freelancer ni njia nzuri yakuongeza kipato lakini pia kutumia muda vizuri na kuendelea kupata experience.

Shukrani kwa maendeleo ya teknolojia leo unakaa home kwako unafanya kazi ya mtu aliyepo Australia, Egypt, US, Sweden au South Africa.

Isn’t that powerful?
 
Site ambazo unaweza jiunga bila kufangaika ni

1 • Guru

2 • Freelancer

3 • Fiverr

I have account in these sites.

They are good.
 
Ahsante kwa somo mkuu ,binafsi nimewahi kusikia hii issue but sikuwa na ufahamu wa kutosha nashukuru kwa kuiweka clear,,
alafu je, hizo platform hazicharge gharama yoyote au ukishajiunga ndo bas au kuna monthly fee or whatever?
 
Ahsante kwa somo mkuu ,binafsi nimewahi kusikia hii issue but sikuwa na ufahamu wa kutosha nashukuru kwa kuiweka clear,,
alafu je, hizo platform hazicharge gharama yoyote au ukishajiunga ndo bas au kuna monthly fee or whatever?

Hakuna charges zozote mkuu kuanza ni bure kabisa.

Ni wewe tu na Skills zako
 
Unahitaji kuanza right NOW.

Kuahirisha mambo ndiyo adui yako.

You need to start somewhere.

.yani ni kama umenipa makavu asee,though n kwa vitu vingine sio hv
Asante sana be blessed!
 
qim,

Ndiyo.

Kunahirisha mambo kila wakati ni aina fulani hivi ya ujinga.

But give thanks, you can change.

You need to start somewhere right NOW
 
Kama upo college ni vizuri sana kufanya kazi kama Online Freelancer.

Itakusaidia Kutengeneza soma cash lakini pia utapa experience ukienda kuomba kazi sehemu nyingine hutokosa.
 
Great
Binafsi nafikiri kuwa Online Freelancer ni njia nzuri yakuongeza kipato lakini pia kutumia muda vizuri na kuendelea kupata experience.

Shukrani kwa maendeleo ya teknolojia leo unakaa home kwako unafanya kazi ya mtu aliyepo Australia, Egypt, US, Sweden au South Africa.

Isn’t that powerful?
 
Hakuna charges zozote mkuu kuanza ni bure kabisa.

Ni wewe tu na Skills zako
Mkuu nimepewa kazi saba huko Freelancer
Alafu siwezi hata moja na sababu ya kutoweza mm sina fani na mambo hayo kama Unataka nikupasie dili, moja ya miezi 2 450 per day, kuna nyengine 90000 usd per annual na nyingine usd 30 per hour.
 
Mkuu nimepewa kazi saba huko Freelancer
Alafu siwezi hata moja na sababu ya kutoweza mm sina fani na mambo hayo kama Unataka nikupasie dili, moja ya miezi 2 450 per day, kuna nyengine 90000 usd per annual na nyingine usd 30 per hour.
kazi gani hizo
 
Mkuu nimepewa kazi saba huko Freelancer
Alafu siwezi hata moja na sababu ya kutoweza mm sina fani na mambo hayo kama Unataka nikupasie dili, moja ya miezi 2 450 per day, kuna nyengine 90000 usd per annual na nyingine usd 30 per hour.
90000$$
 
Mkuu nimepewa kazi saba huko Freelancer
Alafu siwezi hata moja na sababu ya kutoweza mm sina fani na mambo hayo kama Unataka nikupasie dili, moja ya miezi 2 450 per day, kuna nyengine 90000 usd per annual na nyingine usd 30 per hour.

Wewe inaonyesha hata unachoandika hufahamu.

Ulivyosema tu “nimepewa kazi saba huko freelancer” ni dalili ya kwanza hufahamu unaachojaribu kusema hapa.

Hakuna atakayekupa kazi wakati huiwezi kasi husika.

Stop being stupid lil man.
 
Back
Top Bottom