Je, inawezekana kuwa na Serikali Binafsi?

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,030
3,908
Ninafikiria;

Je inawezekana kubinafsisha baadhi ya maeneo ya nchi yawe semi autonomious private state kwa makubaliano maalum?

Kwa mfano mtu kama Bill gate anakabidhiwa Eneo ka Mtwara hivi kwa makubaliano ya kuwekeza katika eneo hilo kama nchi yake kwa kipindi cha lets say miaka 99 kuwa aurtonomous.Yaani anaitwa Mfalme wa Mtwara Nadni Ya Tanzania.Anakuwa tua analipa kodi fulani katika serikali kuu lakini eneo lote,ikiwamo Raia,Ardhi N.K.Inakuwa ni mali yake na inaendeshwa katika Mfumo ambao utakubalika?

UVCCM hawaruhusiwi kuchangia huu uzi

Bavicha sijajua
 
Aaahhh mbona rahisi tu? Wewe unakua Rais, Mkeo anakua PM, na wategemezi wako wanakua subordinates wako... Ukirudi unapiga mkwara tu Kama Jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom