Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,005
- 303
Hivi inawezekana kutumia barua pepe zaidi ya simu moja (kushare) na isilete matatizo ya kifaa chako maana mm nimeshare barua pepe simu yangu imejilock (Samsung)
Mimefungulia zaidi ya simu moja yaani natumia huawei nkanunua Samsung nayo nkafungulia email hyo hiyo ikajilockInawezekana kwani unavofungua hio ya pili ulitumia application gani
Oooh! Unamaanisha email ikajilock? Inategemea na settings... Kama gmail vifaa viwili tofauti vikifungua hiyo email address inakuletea email kurepoti kua kuna kifaa fulani kimelog in kwenye email yako na kama kuna hatua unataka chukua. Ni defense mechanism, itakua wewe mwenyewe ndo umeilock bila kujua unachofanya, la sivyo haiwezi tu kujilock.Mimefungulia zaidi ya simu moja yaani natumia huawei nkanunua Samsung nayo nkafungulia email hyo hiyo ikajilock
Kweli simu mpya s6 imejiloki ulichoongea nililipotiwa kuwa Samsung s6 log your email mimi skutilia maanani nkaendelea kutumia nilpo maliza kuitumia nkaizima kesho nataka nfungue nianze kuitumia nkashangaa imejilockOooh! Unamaanisha email ikajilock? Inategemea na settings... Kama gmail vifaa viwili tofauti vikifungua hiyo email address inakuletea email kurepoti kua kuna kifaa fulani kimelog in kwenye email yako na kama kuna hatua unataka chukua. Ni defense mechanism, itakua wewe mwenyewe ndo umeilock bila kujua unachofanya, la sivyo haiwezi tu kujilock.