Je, inawezekana kusoma huku unafanya kazi kwenye nchi za Ulaya?

Kusoma na kufanya kazi inawezekana, isipokuwa kwa mwanafunzi huwa kuna limitations za kazi anazoweza fanya, utapiga vibarua tu almaarufu kubeba boksi...

Kama unataka kufanya kazi ya ajira ya kudumu, sina uhakika sana kwa Ulaya ikoje lakini kwa kuzingatia uzoefu wa nchi nyingine ni hadi ubadili aina ya visa (hii ina maana ushamaliza mambo ya shule, vile mtu hawezi kuwa na aina zaidi ya moja ya visa kwa wakati mmoja)...

Pitia maelezo haya chini kwa mwanafunzi mwenye nia ya kusoma Norway

Generally, a student residence permit does not cover the right to take employment in Norway. However, if you are granted a study permit, you are automatically also granted permission to work part-time.
 
Oohh shukrani sana
 
Back
Top Bottom