Je inawezekana kusoma degree kwa sifa ya form IV na certificate ya urasimu ramani?

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Wadau wa elimu nawaomba kujulishwa iwapo Nina Certifate ya Urasimu Ramani Na Nina elimu ya kidato cha NNE je naweza kuomba kusoma Chuo Kikuu cha Ardhi ili kuchukua kozi ya mipango miji?
 
Yaani ukasome degree wakati una certificate wewe nenda diploma tu Mr
 
Je waliopata degree Kwa sifa hizo degree za in sahihi? Na kama wameajiriwa Kwa degree hiyo je ni sahihi
 
Duuuh chuo gani kinachukua certificate kusoma degree mkuu????
 
Back
Top Bottom