Je inawezekana kusajili kampuni moja lakini ikajishughulisha na biashara zaidi ya moja? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je inawezekana kusajili kampuni moja lakini ikajishughulisha na biashara zaidi ya moja?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kig, Sep 14, 2012.

 1. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Je inawezekana kusajili kampuni ambayo itakuwa na jina moja tu lakini ikawa inajishughulisha na biashara mbalimbali au biashara zaidi ya moja kwa wakati mmoja? mfano kampuni ikaitwa Selenga General Bussiness Limited halafu ikawa inajishughulisha na biashara ya stationaries, usafirishaji abiria, catering au restaurent services, intertainment nk kwa wakati mmoja.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ndio sema inabidi ulipie lisence nyingine.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mfano ippmedia::
  1.Wana Magazeti
  2.Radio
  3.Tv
  4.Viwanda

  So kampuni moja sema inakua na leseni tofauti za biashara
   
 4. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  possible, fungua general supply company, but kwenye kila biashara unaikatia licence ya tofauti. . .sema kampuni yote inakua kitu kimoja.
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Ndio.
  Unachotakiwa kufanya ni kuweka kipengele kinachoruhusu hizo biashara kwenye MEMARTs yako. Then unazingatia kanuni za kuanzisha biashara husika...
   
 6. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nashukuru sana wadau mliochangia hapo juu. hakika mmenifumbua macho. Naomba na wengine mnisadie zaidi kimawazo kwa kuchangia hoja yangu
   
Loading...