Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,590
- 5,427
Habari zenu wana JF, poleni kwa majukumu ya pilika pilika ya kutafuta pesa.
Jamani naombeni ushauri wenu. Nyumbani nina TV aina ya Samsung zile za South Africa inch 32.
Leo dogo ameiangusha hiyo TV kwahiyo kioo kinaonyesha rangi rangi tu. Je, kuna uwezekano wa kutengenezwa kwa fundi iyo TV ama nifanyaje? Ushauri wenu muhimu sana