Je, inawezekana KUB Mbowe hajui upana wa majukumu yake?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,745
139,515
Haiwezekani Mbowe ang'ang'anie kuchangisha hela za kumtibia mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni mh Lissu ilhali yeye kama KUB anapaswa kuujua utaratibu wote wa kutibia Wabunge. Sipingi Lissu kuchangiwa bali nashangazwa namna KUB anavyoshindwa kupambania stahiki za kikatiba na kisheria ambazo mbunge Tundu Lissu anazistahili.

Nayasema haya kwa sababu nafahamu ukubwa wa gharama za matibabu katika hospitali za Agakhan. Lissu kulipiwa na bunge au serikali ni haki yake ya msingi siyo hisani na Mbowe ni lazima alielewe hilo.

Chadema wanaweza kutoa sababu za kisiasa lakini ni lazima wakumbuke hapa wanashughulika na maisha ya mtu tena baba mwenye familia yake! Mungu wa mbinguni na amponye mpendwa Tundu Lissu kwa haraka na ampe wepesi wa ushirikiano ndugu Freeman, amen!
 
Ataelewa wapi na shule ndo vile tena anyway huyu mgonjwa inadaiwa alikuwa anavuta mpunga mrefu kiasi hadi yule dada wa bunda anaskitika mia imekatika fasta kwa kesi ile tu
 
Haiwezekani Mbowe ang'ang'anie kuchangisha hela za kumtibia mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni mh Lissu ilhali yeye kama KUB anapaswa kuujua utaratibu wote wa kutibia Wabunge. Sipingi Lissu kuchangiwa bali nashangazwa namna KUB anavyoshindwa kupambania stahiki za kikatiba na kisheria ambazo mbunge Tundu Lissu anazistahili.

Nayasema haya kwa sababu nafahamu ukubwa wa gharama za matibabu katika hospitali za Agakhan. Lissu kulipiwa na bunge au serikali ni haki yake ya msingi siyo hisani na Mbowe ni lazima alielewe hilo.

Chadema wanaweza kutoa sababu za kisiasa lakini ni lazima wakumbuke hapa wanashughulika na maisha ya mtu tena baba mwenye familia yake! Mungu wa mbinguni na amponye mpendwa Tundu Lissu kwa haraka na ampe wepesi wa ushirikiano ndugu Freeman, amen!
uzuri wa hii nchi kla mtu ni mjuaji hata wasio jua nao wanajifanya wanajua, kma ww mtoa post,
 
Mbona unasema jambo linalokushinda?

Nimesoma hadi mwisho sijaona unapendekeza/unataka hatua gani zichukuliwe

Kaungane na ndugai kutafuta bima ya Lissu
 
Mnakera na vi thread vyenu. CDM, LISU, DEREVA, MBOWE, MSIGWA, LEMA, NAIROBI, NDUGU WA LISU, OOH! OOH. HAKUNA MENGINE? ACHA WAFANYE WANACHOFANYA KIKUBWA LISU APONE. TIRED OF YOUR THREADS
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom