Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Kuna draft nimejaribu kufatilia tangu mwaka 1995 mrema alipotoka ccm na kuhamia NCCR na kugombea uraisi mwaka 1995 wakati chama kikuu cha upinzani kikiwa NRA
Mwaka 2000 na 2015 lipumba alikuwa mpinzani mkuu kupitia cuf baada ya mrema kupotea kisiasa
Mwaka 2010 dk.slaa alikuwa mpinzani mkuu ambaye alitokea ccm mwaka 1994 na kujiunga na chadema
Mwaka 2015 lowassa alikuwa ni mpinzani mkuu ambaye alitokea ccm mwaka 2015 alijiunga chadema alitokea ccm.
Je kuhusu 2020 ni kweli itakuwa zamu ya membe kweli kuitikisa ccm akiwa kama mpinzani