Je, inashauriwa kuvaa Condom mbili kwa wakati mmoja?

Superb2014

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
8,444
6,480
Habari za leo Wakuu?

Naomba msaada kwa hili , Je Mwanaume na Mwanamke wanapotaka kukutana kimwili Mwanaume anaweza kuvaa Kondom Mbili kwa wakati mmoja ili kujikinga zaidi na maradhi?
 
Habari za leo wakuu?

Naomba msaada kwa hili, Je Mwanaume na Mwanamke wanapotaka kukutana kimwili Mwanaume anaweza kuvaa Kondom Mbili ili kujikinga zaidi na Maradhi?
 
Mimi ninavofahamu ni condom moja kwa tendo moja inatosha kujikinga ukiitumia kwa usahihi, zingatia tu ,usivae condom ukiwa na makucha marefuu,,epuka kuiongezea kondom vilainishi vingine itapelekea kupasuka.Hivo yani
 
Mbili hazitosh afu pia condom haifai vaa rambo au gunia la kilo mia ujikinge mwl mzma

IMG_20180321_105035.jpg
 
Back
Top Bottom