Je inasaidia kutulia kwenye ndoa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je inasaidia kutulia kwenye ndoa.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Penelope, Sep 4, 2012.

 1. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 60
  Yani kua kwenye mahusioano tofauti na mtu ama watu wengine kabla ya ndoa.
   
 2. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  inasaidia mana mnakua mshajuana vyakutosha tofauti na ile ya kuoana hata hamjuani mfano wale wanaochaguliwa wake kijijini inakua hawajuani na niwachache sana wanadumugi ktk ndoa za dizain hiyo
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 764
  Trophy Points: 280
  Sijui kwa uhakika
  Lakini, uzoefu huchangia kuleta uerevu. Na pia humfanya mtu afanye informed decisions, mtu ambaye amepitia mahusiano mengi, AKIAMUA kutulia anaweza kuwa mwaminifu kwani 'hana jipya sana la kujifunza'; tofauti na yule aliyeolewa au kuoa akiwa na miaka say 16. Hii ni kutokana na mtazamo wangu lakini!
   
 4. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,638
  Likes Received: 1,664
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu alileta uzi hapa juzi kati ati kuna mwanandoa ameikimbia ndoa yake kwa sababu ya 'rungu' kubwa la mumewe! Yawezekana ilikuwa story tu na haikuwa na ukweli, lakini inatoa ujumbe fulani hivi kuhusu uzoefu katika mahusiano (kwa ubaya ama hata kwa uzuri). Katika stori ile unaweza kujiuliza, hilo rungu kubwa alikuwa na analilinganisha na nini....'marungu' mengine?
   
 5. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Miluzi mingi humpoteza mbwa..
  Binafsi siamini kama maisha ya ndoa yanahitaji 'empirical experience' ya kiasi hichi kama kazi ya kuajiriwa...
  Rely kwenye mafundisho ya ndoa na mabandiko yanayohusu mahusiano..usipende kuonja sumu kwa kuilamba..
   
 6. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,766
  Likes Received: 1,494
  Trophy Points: 280
  mi kama sijaelewa hapa!hebu mwanafunzi wangu mmoja anieleweshe,Aspirin,Kaizer,Snowball?mwalimu haoni swali ubaoni hebu msomeeni!
   
 7. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Anauliza..'eti ni sawa kushake well before use'...
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  nadhani ni kweli..maaana kutembea kwingi ni kujua mengi..
  lakini kuna tofauti ya kuwa kwenye mahusiano na kusex
  unaweza kuwa umekuwa na mahusiano na watu 3 lakini umesex na 20
  mimi nazungumzia wa mahusiano
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,089
  Trophy Points: 280
  20 kwa 3....
  na hiyo signature hiyo....lol
  kuna kitu unajaribu sema i guess lol
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  ahahaaa The Boss bana mi hata no 3 sijafika nakwambia...still searching..back to topic.....ujue kuna watu hawajui kuulizia past za watu..
  mtu anauliza ulishawai kuwa na wapenzi wa ngapi? anajibiwa mmoja ...flani..wanaanza maisha ..siku zinapita anaambiwa mbona mpenzi wako alitembea na flani? ni kweli alitembea nae but hawakuwa wapenzi ..je kama alibakwa? wanaume kuweni specific
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  that's wise snowball!
   
 12. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Both of them have direct effects to some ones emotions
   
 13. c

  christmas JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,482
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  kwa upande wangu naona ni sawa kujuana kabla ya kuingia kwenye ndoa ingawa haiguarantee kuwa ukimjua hatakuja kubadilika huko mbeleni
   
 14. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  tatizo ni kwamba anaweza nogewa alafu akaona hii hadithi ya kuwa na mtuu mmoja tuu kero so alisha ji-tune kuwa na short term relationships na sio long term kama ndoa
   
 15. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wala haisaidii kabisa katika karne ya sasa..... watu wakishaoana wanabadilika sana. Kikubwa ni kuwekeana mipaka na kueshimiana katika ndoa.
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,104
  Likes Received: 3,006
  Trophy Points: 280
  Huo ni wakati gani???
   
 17. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 60
  Swali ni je mtu aliepita kwenye mahusiano ya kimapenzi na watu tofauti tofauti kabla ya kuolewa ama kuoa mtu mwingie inamsaidia kutulia kwenye ndoa na huyu mume ama mke wake?
   
 18. Wayne

  Wayne JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 663
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  HAISAIDII with a capital "H"

  Marriage is a different Animal
   
Loading...