Je, inaruhusiwa kisheria kuanzisha chama 'kipya' cha TANU?

12. –(1) No party formed or existing in any part the United Republic prior to
the Union of Tanganyika and Zanzibar or prior to 5
th February, 1977, shall be
revived nor shall the name or acronym of such party be used by any political
party to be registered under this Act.

Heko Mkuu Pasco!
huwa napenda ref. nadhani umemaliza mjadala labda nikirejea chanzo kuanzisha chama hakuna ubaya lakini nnawasiwasi usiwe kuwa una jenda nyengine ndo maana baada ya kutafakari jina jengine kwa wakati tulionao unataka kuturejesha unaturejesha Tanganyika
Ni mtizamo tu
Sheng
 
Nadhani nchi imekosa mwelekeo kwa kuwa hatuna chama kinachosimamia misingi mikuu ya TANU yaani Uafrika na Uzalendo hivyo kuna umuhimu wa kuifufua TANU.
 
Wanasiasa na Wanasheria, je, inawezekana kuanzisha chama 'kipya' cha kisiasa cha upinzani kiitwacho Jumuiya ya Uzalendo wa Kiafrika, yaani, Tanzania African National Union (TANU)?

Chief una hamu ya kurudi tulikotoka? kwa haraka tu hilo jina lina hati miliki
 
Baada ya kutafakari sana nimepata suluhisho/jibu:

Chama hiki kitaitwa Jumuiya ya Umoja wa Uzalendo wa Kiafrika, yaani, Tanzania Association of African Nationalist Unity (TAANU).
 
Baada ya kutafakari sana nimepata suluhisho/jibu:

Chama hiki kitaitwa Jumuiya ya Umoja wa Uzalendo wa Kiafrika, yaani, Tanzania Association of African Nationalist Unity (TAANU).
Still sounds like Tanu. the rule on acronym will apply, No Registration!.
 
Back
Top Bottom