Je, inakuwaje wanawake wasiotulia huopoa wanaume wenye muafaka...?

Ukweli wa jambo hili umegawanyika sehemu mbili:

Mosi: Wanaume wengi watulivu, wapole, yaani wale wanaoitwa "husband material" ni watu ambao huwa hawana mbinu wala guts za ku approach na kuwapata wasichana wanaofanana nao i.e watulivu, wapole na wanaoitwa "wife material"! Hii inatokana na ukweli kwamba wanaume wapole huwa pia wana aibu na niwaoga sana wa kutongoza! Upande wa pili, wanawake watulivu huwa ni waoga na wagumu sana kupatikana.. meaning unatakiwa uwe na mbinu za ziada kuweza kuwapata. Hili ni tatizo la kwanza ........................................................................................ eqn. 1

Pili: Wanawake wengi "utulivu ziro" wanawafahamu wanaume ambao ni "husband material", na wanafahamu kwamba ni waoga, na wana aibu. Wanawake hawa hutumia ujanja wao wa mjini kujisogeza karibu na wanaume hawa (kitu ambacho wanawake wapole hawathubutu kufanya kwa kuogopa "nitaonekanaje?") na kuanzisha nao mahusiano pole pole huku wakijua kabisa kwamba wanaume hawa wakishanasa watafanya kila liwezekanalo kuhakikisha hawajinasui! ...................................... eqn. 2

Matokeo yake sasa.. utakuta wanaume wapole, watulivu, wakioa wanawake utulivu sifuri huku wanawake wapole, watulivu wakichukuliwa na wanaume utulivu sifuri ambao ndio hasa wenye mbinu na uthubutu wa kuwafata na kuwatongoza..!
 
Good girls aint no fun,wapole nje hadi ndani,hao wasiotulia are a type of bad girls ,they r not ass kissers at all,adventurous and men love that..wanajua kusumbua a guy akiwa anamfukuzia and know maujanja every angle ya relationship,tatzo ndo wanaweza wakawa wanagawa kw wengi

Yap ipo hvyo
 
Attachments

  • 11535446_l_42736f6c2c83e0e49f9da68bb707048b.jpg
    11535446_l_42736f6c2c83e0e49f9da68bb707048b.jpg
    9.5 KB · Views: 315
Ukweli wa jambo hili umegawanyika sehemu mbili:

Mosi: Wanaume wengi watulivu, wapole, yaani wale wanaoitwa "husband material" ni watu ambao huwa hawana mbinu wala guts za ku approach na kuwapata wasichana wanaofanana nao i.e watulivu, wapole na wanaoitwa "wife material"! Hii inatokana na ukweli kwamba wanaume wapole huwa pia wana aibu na niwaoga sana wa kutongoza! Upande wa pili, wanawake watulivu huwa ni waoga na wagumu sana kupatikana.. meaning unatakiwa uwe na mbinu za ziada kuweza kuwapata. Hili ni tatizo la kwanza ........................................................................................ eqn. 1

Pili: Wanawake wengi "utulivu ziro" wanawafahamu wanaume ambao ni "husband material", na wanafahamu kwamba ni waoga, na wana aibu. Wanawake hawa hutumia ujanja wao wa mjini kujisogeza karibu na wanaume hawa (kitu ambacho wanawake wapole hawathubutu kufanya kwa kuogopa "nitaonekanaj

nice analysis ukweliiii mtupu
 
Ukweli wa jambo hili umegawanyika sehemu mbili:

Mosi: Wanaume wengi watulivu, wapole, yaani wale wanaoitwa "husband material" ni watu ambao huwa hawana mbinu wala guts za ku approach na kuwapata wasichana wanaofanana nao i.e watulivu, wapole na wanaoitwa "wife material"! Hii inatokana na ukweli kwamba wanaume wapole huwa pia wana aibu na niwaoga sana wa kutongoza! Upande wa pili, wanawake watulivu huwa ni waoga na wagumu sana kupatikana.. meaning unatakiwa uwe na mbinu za ziada kuweza kuwapata. Hili ni tatizo la kwanza ........................................................................................ eqn. 1

Pili: Wanawake wengi "utulivu ziro" wanawafahamu wanaume ambao ni "husband material", na wanafahamu kwamba ni waoga, na wana aibu. Wanawake hawa hutumia ujanja wao wa mjini kujisogeza karibu na wanaume hawa (kitu ambacho wanawake wapole hawathubutu kufanya kwa kuogopa "nitaonekanaje?") na kuanzisha nao mahusiano pole pole huku wakijua kabisa kwamba wanaume hawa wakishanasa watafanya kila liwezekanalo kuhakikisha hawajinasui! ...................................... eqn. 2

Matokeo yake sasa.. utakuta wanaume wapole, watulivu, wakioa wanawake utulivu sifuri huku wanawake wapole, watulivu wakichukuliwa na wanaume utulivu sifuri ambao ndio hasa wenye mbinu na uthubutu wa kuwafata na kuwatongoza..!

Hii ni kweli. Unajua wanaume nao hutongozwa!!! Na wasichana/wanawake wenye utulivu ziro (micharuko) hujua jinsi ya kuwatongoza wanaume watulivu. Utongozaji wao ni kama ulivyozungumzia hapo juu. Yaani umegonga ikulu.
 
Hivi kuna wanaume "viwembe" hawajaoa!!!?????

Kwa hili la wanawake wanaoitwa hawajatulia nadhani ni wale wanaojitambua sana nini cha kufanya na wapi pa kufanya hivyo ila tatizo they are not there to kiss nobodys azz hata kama ni mume!!!!!!

Sasa kwa mfumo dume huyu lazima abatizwe mapepe au hajatulia sababu hupenda kuishi vile atakavyo,labda ndio maana pia hupata wanaume wa kitasha kwa urahisi sababu wanaweza kuelewana kirahisi kuliko sie tuliolelewa kibongo!!!!!!

Ila what i know for sure ni kuwa ni machizi kwa bed na game zao ni tight,wanapika mbaya(wakiamua),akiwa na kipato mi gift sio issue na wanajua taste sana,wanaishi leo hawana hofu ya kesho kama mama mzazi,sharp minded ila hawajali!!!!!!!

Sasa mwanaume mwenye msimamo wa kimaisha anahitaji kampani na hiyo ni zaidi ya inatosha kwake as uchumi sio ishu sasa kwa nini asinase???!!!!!

Na wengi akishakuwa na watoto huwa wanazima mapepe yoote na kuwa poa kabisaa mpaka watu hushangaaa!!!!!

let me find one..........
 
Hili swala nimekuwa nikijiuliza sana lakini nadhani sababu kubwa ni huo "Upole wa hao wanaume" na "umachepele wa hao wanawake".

Wanaume wapole na watulivu wengi wao wanatabia za "Uoga na kutoamini", hivyo kuwapelekea kutakuwa na uwezo wa kuwatokea au kuwaanza wanawake. Na hali hiyo hiyo huwa inawakuta wanawake watulivu na wapole, hawana guts za kwenda hata kuanzisha mazungumzo na wanaume. So inakuwa, the good boy can not talk to the good girl and vice versa.

Hapo ndipo zinapoanza the bad and the good. Good men wakipagawishwa kidogo tu na mwanamke anayejua anataka nini na ni namna gani atakipata, type zile ambazo "they can get a man talking and opening up" .....
 
Ukweli wa jambo hili umegawanyika sehemu mbili:

Mosi: Wanaume wengi watulivu, wapole, yaani wale wanaoitwa "husband material" ni watu ambao huwa hawana mbinu wala guts za ku approach na kuwapata wasichana wanaofanana nao i.e watulivu, wapole na wanaoitwa "wife material"! Hii inatokana na ukweli kwamba wanaume wapole huwa pia wana aibu na niwaoga sana wa kutongoza! Upande wa pili, wanawake watulivu huwa ni waoga na wagumu sana kupatikana.. meaning unatakiwa uwe na mbinu za ziada kuweza kuwapata. Hili ni tatizo la kwanza ........................................................................................ eqn. 1

Pili: Wanawake wengi "utulivu ziro" wanawafahamu wanaume ambao ni "husband material", na wanafahamu kwamba ni waoga, na wana aibu. Wanawake hawa hutumia ujanja wao wa mjini kujisogeza karibu na wanaume hawa (kitu ambacho wanawake wapole hawathubutu kufanya kwa kuogopa "nitaonekanaje?") na kuanzisha nao mahusiano pole pole huku wakijua kabisa kwamba wanaume hawa wakishanasa watafanya kila liwezekanalo kuhakikisha hawajinasui! ...................................... eqn. 2

Matokeo yake sasa.. utakuta wanaume wapole, watulivu, wakioa wanawake utulivu sifuri huku wanawake wapole, watulivu wakichukuliwa na wanaume utulivu sifuri ambao ndio hasa wenye mbinu na uthubutu wa kuwafata na kuwatongoza..!
There you are,,,This is the bottom line.......
 
mara nyingi tunakamatwa na wanawake ambao nyie mnaojiita decent mnatushangaa...lakini wana mambo mengi hao wanatusaidia....nyie mpo bize na kujua kwingi..kiingereza kingi,sijui dstv,iphone,....lakini not what a man wants..ndio maana mnashangaa ...wengine wanasema kulogwa ..hakuna cha kulogwa ..wanajua mwanamme anataka nini ktk muda gani....kama nyie mnakomaa na materialism...its juts boring us!
 
Unamaliza kabisa mkuu kama hamna kesho!!!!
 
Back
Top Bottom