Je, inakuwaje wanawake wasiotulia huopoa wanaume wenye muafaka...?


Mtambuzi

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Messages
8,809
Likes
1,324
Points
280
Mtambuzi

Mtambuzi

Platinum Member
Joined Oct 29, 2008
8,809 1,324 280


Kuna jambo moja huwa linawaacha wanawake wengi na maswali yasiyo na majibu na wengi huwa wanajiuliza maswali bila ya kupata majibu.

Kuna baadhi wanawake ambao hawajatulia, vijana wa mjini huwa wanawaita "utulivu ziro" yaani sio kwamba ni makahaba, hapana, lakini wanakuwa na tabia ya kutotulia na kuonekana kama wana vurugu kichwani. Kwa wanawake wengi huwa wanawaona wanawake wa aina hii kama sio wife material, yaani hawako katika kundi la wanawake wanaofaa kuolewa kutokana na tabia zao hizo za kutotulia.

Lakini jambo ambalo huwa linawaacha wanawawake wengi na mwaswali ni pale wanapowaona wanawake wa aina hii wakiopoa wanaume wenye muafaka, yaani wanaume wenye sifa zinazowavutia wanawawake wengi kuolewa nao. Hapo ndipo yanapoibuka maswali mengi kwa baadhi ya wanawake wakijiuliza.

"Ni kitu gani kimemvutia huyu mwanaume kwa mwanamke yule.....!"Lakini jambo la kushangaza zaidi ni kwamba uhusiano wao unaweza kukua hadi kufikia kufunga ndoa, na usije ukadhani kwamba yule mwanamke atabadilika tabia, la hasha, anaweza kubaki na tabia yake hiyo hiyo ya kutotulia na bado akamudu kumshika huyo mwanaume barabara. Mwanaume huyo anaweza kujikuta amenasa na hawezi kuchomoka, na hata ikitokea wakitengana, haitapita muda wararudiana pamoja na uhusiano wao kutawaliwa na vurugu fulani fulani.Wapo baadhi huwa wanabadilika na kujenga uhusiano imara hata kuwashanganza watu wengi, lakini huwa ni wachache sana, narudia kusema, mara nyingi huwa ni wachache sana, lakini wengi wao pamoja na kutotulia na kuonekana kuwa na vurugu kichwani, lakini humudu kuwashika wanaume wenye muafaka na kuwaacha wanawake wenzao vinywa wazi.

Je ni jambo gani linatokea?

Naomba mchango wenu.

CC: cacico, Paloma, snowhite, Lisa, lara 1, King'asti, Preta, KOKUTONA, Madame B, Nivea, BADILI TABIA, miss wa kinyaru, sister, marejesho, AshaDii, Kongosho, Fixed Point, gfsonwin, Mwali, mwallu
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
31,836
Likes
5,196
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
31,836 5,196 280
Mtambuzi umenifikirisha sana kwa hili jambo, ila ninachoona kuna mahusiano ya ufahamu wa mambo ya ndani zaidi katika utundu wa chumbani kuliko hao wanaitwa wife material.
mara nyingi wanapenda kujiachia, sasa na wanaume wanapenda vitu kama hivyo....
 
Munkari

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Messages
8,109
Likes
563
Points
280
Munkari

Munkari

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2013
8,109 563 280
Hata miye sielewi! Nasubiria majibu!!
 
Gunda66

Gunda66

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Messages
507
Likes
37
Points
45
Gunda66

Gunda66

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2012
507 37 45
Uzuri umeshatuhabarisha si kahaba, yawezekana anaonekana hajatulia na sio wife materials but akawa tofauti katika maswala ya mapenzi yaani akawa msikivu, mwelewa kwa mpenzi wake jambo ambalo halionekani nje na kwa watu wengine, na nafikiri hyo ndo sababu ya wanaume kubaki kwa watu wa design hii......

ni hayo tu Bro Mtambuzi
 
sister

sister

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Messages
9,031
Likes
3,999
Points
280
sister

sister

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2011
9,031 3,999 280
Kiukweli hata mim hili jambo uwa silielewi...kuna mdada tulikuwa tunasoma nae chuo alikuwa hajatulia kama unavyosema...lakini tumemaliza tu chuo akaolewa...
 
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,176
Likes
223
Points
160
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,176 223 160
Hivi kuna wanaume "viwembe" hawajaoa!!!?????

Kwa hili la wanawake wanaoitwa hawajatulia nadhani ni wale wanaojitambua sana nini cha kufanya na wapi pa kufanya hivyo ila tatizo they are not there to kiss nobodys azz hata kama ni mume!!!!!!

Sasa kwa mfumo dume huyu lazima abatizwe mapepe au hajatulia sababu hupenda kuishi vile atakavyo,labda ndio maana pia hupata wanaume wa kitasha kwa urahisi sababu wanaweza kuelewana kirahisi kuliko sie tuliolelewa kibongo!!!!!!

Ila what i know for sure ni kuwa ni machizi kwa bed na game zao ni tight,wanapika mbaya(wakiamua),akiwa na kipato mi gift sio issue na wanajua taste sana,wanaishi leo hawana hofu ya kesho kama mama mzazi,sharp minded ila hawajali!!!!!!!

Sasa mwanaume mwenye msimamo wa kimaisha anahitaji kampani na hiyo ni zaidi ya inatosha kwake as uchumi sio ishu sasa kwa nini asinase???!!!!!

Na wengi akishakuwa na watoto huwa wanazima mapepe yoote na kuwa poa kabisaa mpaka watu hushangaaa!!!!!
 
Eiyer

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Messages
28,271
Likes
4,048
Points
280
Eiyer

Eiyer

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2011
28,271 4,048 280
M

Mkempia

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Messages
1,142
Likes
63
Points
145
M

Mkempia

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2013
1,142 63 145
Na mimi nasubiri majibu hapa, maana nina mdogo wangu nae ameoa hawa "wanawake wasiotulia" bahati mbaya siri za mke huyu zimenza kuvuja inafika wakati mdogo wangu anona aibu hata kuongozaa nae.
 
N

Nyauba

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Messages
1,098
Likes
12
Points
135
N

Nyauba

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2008
1,098 12 135
Hivi kuna wanaume "viwembe" hawajaoa!!!?????

Kwa hili la wanawake wanaoitwa hawajatulia nadhani ni wale wanaojitambua sana nini cha kufanya na wapi pa kufanya hivyo ila tatizo they are not there to kiss nobodys azz hata kama ni mume!!!!!!

Sasa kwa mfumo dume huyu lazima abatizwe mapepe au hajatulia sababu hupenda kuishi vile atakavyo,labda ndio maana pia hupata wanaume wa kitasha kwa urahisi sababu wanaweza kuelewana kirahisi kuliko sie tuliolelewa kibongo!!!!!!

Ila what i know for sure ni kuwa ni machizi kwa bed na game zao ni tight,wanapika mbaya(wakiamua),akiwa na kipato mi gift sio issue na wanajua taste sana,wanaishi leo hawana hofu ya kesho kama mama mzazi,sharp minded ila hawajali!!!!!!!

Sasa mwanaume mwenye msimamo wa kimaisha anahitaji kampani na hiyo ni zaidi ya inatosha kwake as uchumi sio ishu sasa kwa nini asinase???!!!!!

Na wengi akishakuwa na watoto huwa wanazima mapepe yoote na kuwa poa kabisaa mpaka watu hushangaaa!!!!!
Ni kweli mara nyingi wanawake wanaonekana hawajatulia hupata wanaume wa maana kirahisi kwa sababu zifuatazo
1. free minded na wanajiamini
2. very funny and unpredictable kitu ambacho wanaume wanaojiamini wengi wanakipenda.
3. Mapenzi ya kitandani na nje ya kitanda wanayamuduuu.
4.wana upeo mpana wa kutoa ushauri na kufanya jambo bila kuelekezwaaa.
5. wanajuaa kumiliki hisiaa za wanaume wao kirahisii.
 
Me370

Me370

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
994
Likes
8
Points
0
Me370

Me370

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
994 8 0
Kwa sababu wana wengi ina maaana katika hao wengi lazima at least mmoja anakuwa Mwanaume wa maana.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,468
Likes
124,850
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,468 124,850 280
Do you know the law of magnetism?
 
Mtambuzi

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Messages
8,809
Likes
1,324
Points
280
Mtambuzi

Mtambuzi

Platinum Member
Joined Oct 29, 2008
8,809 1,324 280
Mhhhhh...hapa mi sna wasiwasi nitakuopoa tu soon!:lying:
Huyo hayuko kwenye kundi nililozungumzia, yeye tabia yake ni Machepele tu na hao wana haiba yao tofauti na hao wasiotulia... LOL

Sijamtaja mtu tafadhali.
 
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,176
Likes
223
Points
160
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,176 223 160
Na mimi nasubiri majibu hapa, maana nina mdogo wangu nae ameoa hawa "wanawake wasiotulia" bahati mbaya siri za mke huyu zimenza kuvuja inafika wakati mdogo wangu anona aibu hata kuongozaa nae.
Kama kaoa kicheche hapa majibu yatakuwa tofauti!!!!!
 
Gide MK

Gide MK

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Messages
6,073
Likes
5,463
Points
280
Age
40
Gide MK

Gide MK

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2013
6,073 5,463 280
Sikubaliani nawe maana ndege wafananao huruka pamoja.
 
mwallu

mwallu

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Messages
6,784
Likes
172
Points
160
mwallu

mwallu

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2013
6,784 172 160
sijawahi kuelewa ni kwa nini
maana kuna watu wanakua hawajatulia kabisaaaa lakini wanaolewa na wanaishi vizuri tu
 
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
5,888
Likes
485
Points
180
badiebey

badiebey

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
5,888 485 180
Good girls aint no fun,wapole nje hadi ndani,hao wasiotulia are a type of bad girls ,they r not ass kissers at all,adventurous and men love that..wanajua kusumbua a guy akiwa anamfukuzia and know maujanja every angle ya relationship,tatzo ndo wanaweza wakawa wanagawa kw wengi
 

Forum statistics

Threads 1,250,637
Members 481,436
Posts 29,740,013