Je inakuaje uchaguz unakua free an fair?

thinka

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
334
148
neno free n fair election sio gen kwa wataanzania kila baada ya uchaguz kuisha.ila kinachonchanganya mimi ni vigezo gan wanavitumia.labda sawa watu wanaweza kua free.lakin utasemaje fair wakat wagombea wa vyama vingine wanatumia pesa Zaid ya wengine kwenye kampen zao.
 
Back
Top Bottom