Je imewahi kukutokea?

uberimae fidei

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
2,406
3,593
Wakati Wa mziki unatafuta Wa kucheza nae ukamatie kiuno.unampata Mara unaskia dj anasema "bado moja ya mwisho"apo ndo utatamani muda urudi nyuma au unatamani umrukie dj umchape vibao.
Duh unakuta au ndo shule ya boys na girls zimekutana baada ya debate .muda Wa mziki ile unapata mrembo Mara unasikia kengele inapigwa .inataka moyo
 
Haha inataTE="Joseverest, post: 21888941, member: 173455"]Yaani umepata mtoto wa kubambia halafu Dj anaanza miyeyusho...aiseeh[/QUOTE]
Haha inataka moyo .apo utatoa mimacho tu unataman akosee aendelee
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom