Je, iko wapi people's power ya Dr. Slaa?

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
Habari wakuu,

Nakumbuka huko nyuma vyama vya upinzani vilijinasibu sana kuwa na mtaji mkubwa wa wananchi na kutotegemea ruhusa ya polisi kufanya mikutano au maandamano tujikumbushe tukio lililopelekea kifo cha Mwangosi Iringa tukumbuke tukio lililopelekea kifo cha muuza magazeti Morogoro upinzani walifanya maandamano kinyume cha agizo la jeshi la polisi.

Leo napata shida sana kuona upinzani unalalamika kunyimwa uhuru wa kufanya mikutano na maandamano ya kisiasa, je tangu lini mmekuwa wastarabu kufata maelekezo ya polisi je iko wapi ile people's power mliokuwa mkijisifu nayo au ndo kasi ya Rais Magufuli katika maendeleo imepunguza ule mtaji wenu wa vijana majobless mliowafanya makarai na kuwatumia kwa mtaji wenu wa kisiasa?
 
Habari wakuu,
Nakumbuka huko nyuma vyama vya upinzani vilijinasibu sana kuwa na mtaji mkubwa wa wananchi na kutotegemea ruhusa ya polisi kufanya mikutano au maandamano tujikumbushe tukio lililopelekea kifo cha mwagosi iringa tukumbuke tukio lililopelekea kifo cha muuza magazeti morogoro upinzani walifanya maandamano kinyume cha agizo la jeshi la polisi.

Leo napata shida sana kuona upinzani unalalamika kunyimwa uhuru wa kufanya mikutano na maandamano ya kisiasa je tangu lini mmekuwa wastarabu kufata maelekezo ya polisi je iko wapi ile people power mliokuwa mkijisifu nayo au ndo kasi ya jpm katika maendeleo imepunguza ule mtaji wenu wa vijana majobless mliowafanya makarai na kuwatumia kwa mtaji wenu wa kisiasa?
Amepunguza jobless ????? Mbona ajili zako za ajabu sana? Au unataka kuamsha asira za watu Lin serikali imeajir watu kuanzia 2015 walimu na kada zngne kwan wameajiriwa? Hapo na ww Leo umepewa buku saba kwa hizi akli ulzoandka hapa?
 
Mkuu vijana wamejiajiri kama wewe ni jobless pole yako
 
Yako wapi haya magari?
SAM_2988_thumb[2].jpg
 
Mkuu vijana wamejiajiri kama wewe ni jobless pole yako
Hivi mtu mwenye mawazo mgando kama wewe siwezi kushangaa kama unasoma hapo IFM tena Information Technology sio kosa lako endelea kukariri hizo takataka za miaka ya 70 ,Sijui hicho chuo hiyo IT kama hata walimu wenu wanauelewa na wanachofundisha au wanawafundisha yale mambo waliosomea hapo hapo bila practical

Shame on you
 
Habari wakuu,
Nakumbuka huko nyuma vyama vya upinzani vilijinasibu sana kuwa na mtaji mkubwa wa wananchi na kutotegemea ruhusa ya polisi kufanya mikutano au maandamano tujikumbushe tukio lililopelekea kifo cha mwagosi iringa tukumbuke tukio lililopelekea kifo cha muuza magazeti morogoro upinzani walifanya maandamano kinyume cha agizo la jeshi la polisi.

Leo napata shida sana kuona upinzani unalalamika kunyimwa uhuru wa kufanya mikutano na maandamano ya kisiasa je tangu lini mmekuwa wastarabu kufata maelekezo ya polisi je iko wapi ile people power mliokuwa mkijisifu nayo au ndo kasi ya jpm katika maendeleo imepunguza ule mtaji wenu wa vijana majobless mliowafanya makarai na kuwatumia kwa mtaji wenu wa kisiasa?
nakuhakikishia wanaoiunga mkono ccm ni wachache na wap....zi kama wewe.kama huamini ppls power uitishwe uchaguzi huru na wa Hki bila kukimbia na mabox uone
 
Hebu 2saidiane mkuu, japo unitoe tu huu ujinga nlo nao. Hv ile Slogan ya People's power ilikuwa ya Slaa au ya Chadema?
 
nakuhakikishia wanaoiunga mkono ccm ni wachache na wap....zi kama wewe.kama huamini ppls power uitishwe uchaguzi huru na wa Hki bila kukimbia na mabox uone
Kwenye uchaguzi kila siku mnashindwa mnabaki kusingizia mnaibiwa shame on you
 
Uchaguzi popote Tanzania ukiwa huru na haki pasipo uchakachuaji wala polisiccm kushiriki kuiba kura hakuna CCM anaweza kushinda uchaguzi wowote ule.
 
s
Kwenye uchaguzi kila siku mnashindwa mnabaki kusingizia mnaibiwa shame on you
unajua kinachotokea kwenye uchaguzi? kwamba kweli kura zianze kupigwa masaa mawili kabla mawakala wengine hawajaingia utegemee ushindi? ungekuwa umesoma ningekuuliza kama ulishawahi simamia uchaguzi hata wa chuo kikuu ndio utajua ubaya wa ccm. lakini kwakuwa huko hujafika ngoja nikuache.
 
Uchaguzi upi chadema walishindwa? Acha ufala wako peleka ujinga wako huko, chadema chaguzi zote wanashinda chaguzi zote lakini CCM kwa kuwatumia Tume ya uchaguzi na polisiccm wanaiba kura na kufanya uchakachuaji
 
CCM bila uchakachuaji, bila polisiccm ni weupe hakuna uchaguzi wanaweza kushinda pasipo kuiba kura na kuwaonea wapiga kura kupitia polisiccm, hakuna mwananchi mwenye Akili Timamu anawapenda CCM tena, kwa sasa CCM ni Adui wa kila Mtanzania mwenye kujitambua.
 
s

unajua kinachotokea kwenye uchaguzi? kwamba kweli kura zianze kupigwa masaa mawili kabla mawakala wengine hawajaingia utegemee ushindi? ungekuwa umesoma ningekuuliza kama ulishawahi simamia uchaguzi hata wa chuo kikuu ndio utajua ubaya wa ccm. lakini kwakuwa huko hujafika ngoja nikuache.
Mkuu usiolijua sawa na usiku wa giza
 
Uchaguzi upi chadema walishindwa? Acha ufala wako peleka ujinga wako huko, chadema chaguzi zote wanashinda chaguzi zote lakini CCM kwa kuwatumia Tume ya uchaguzi na polisiccm wanaiba kura na kufanya uchakachuaji
Mkuu kila siku mnachakachuliwa nyie tu
 
Mkuu kila siku mnachakachuliwa nyie tu
Ndiyo kila siku kwa sababu wananchi walishaichoka CCM miaka 55 hakuna maendeleo bali CCM wamebakia madarakani kwa njia haramu za kuiba kura kwa kuwatumia polisiccm na Tume ya uchaguzi Tumeccm. Kubali ukatae hao CCM bila uchakachuaji na polisiccm leo hii wangekuwa ni chama cha upinzani siku nyingi kama KANU ya kenya .
 
Back
Top Bottom