Je, ikitokea Afrika Mashariki ikatakiwa kuwa na kiongozi mmoja tu wa Jumuiya, utamchagua nani kati ya hawa?

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Ni mjadala unaoendelea huko kwenye page ya Eatv, na mimi nimeona niulete hapa na sisi tujadili

Je! ikitokea Afrika Mashariki ikatakiwa kuwa na kiongozi mmoja tu wa Jumuiya na ndio atakaesimama kama Raisi utamchagua nani kati hawa? Toa sababu.

FB_IMG_1556190773403.jpeg
 
Wote hawafai maana hawana sifa za kuongoza taifa kubwa kama hilo ..nchi zao ndogondogo zimewashinda wataweza nchi kubwa kiasi hicho.. Wengine ni madikteta(90%)..wengine wana entertain ukabila(huyo wakenya)..alafu wate mafisadi tu..kwa hiyo wote ni mizigo
 
Back
Top Bottom