Je IGM Mwema na Mwamnyange hapa wao vipi? kwanini wasijiuzuru???

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Kwa mtazamo wangu hao watu wanatakiwa wawe wameshaondoka uongozini kwani wao ndio viongozi wa karibu wa askari hao waliofanya unyama.

Ni aibu kwa mawaziri kujiuzuru kama watu waliotao amri na watekelezeji wakuu wakiachwa na akiwepo na yule askari aliyekuwa kiongozi wa operation tokomeza nchini
 
Kwakweli. Mimi nawaonea huruma watakao chaguliwa tena kwasababu uongozi wa jeshi la police unabaki vivile na huko ndo kuna uozo ulio kithiri. Na kwa mtazamo wangu naona watawangusha hao viongozi watakao chaguliwa.
 
Katika jeshi mbele ya waziri wao ni kama picha tu,hawana kauri yeyote....ndio maana hukuona wanazungumzia suala lile even a single word,kwahiyo msiwatuhumu kwa hilo,wao wanayao...pia mwamunyange yuko poa labda jembe mwingine....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom