Je, huyu naye ataondoka Afrika Mashariki bila kukanyaga Tanzania ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,438
Waziri mkuu wa Uingereza Mh Theresa May
Subpost 1 - Waziri mkuu wa Uingereza _gb_ bi Theresa May ana mtihani wa kuboresh.jpg
akiwa nchini Kenya kwa ziara ya kikazi .
 
Hata kama Jiwe ana matatizo, lakini naona wengi mnashindwa kuelewa protocol za ziara. Tangu inatangazwa kwamba May anakuja Afrika zilitajwa nchini alizotembelea tu, Afrika Kusini, Nigeria na Kenya sasa atakujaje Tanzania while we are not listed? The same tu
Angela Merkel wa Germany yupo Afrika na alianza na Senegal then anakwenda Nigeria tujifunze kujua protocol za ziara za viongozi wa nje hawaeze kupitia nchi ambayo hawajapanga apite. Na pia first lady wa Marekani anakuja Afrika, lakini Tanzania haijatajwa kama ataitembelea.
 
asante sana mkuu , kwahiyo trip nyingine tutegemee kutembelewa
 
Back
Top Bottom