Je, huyu mtangazaji wa Abood ni Dullah wa EATV/ EA Radio?

Tatizo watangazaji wa mikoani sio wabunifu, wanapenda kuiga swaga na sauti za watangazaji wa Redio/TV za Dar.
Upo Dar tu hapo unadhani ndo mwisho wa dunia, Siku ukifika newyork si utajiona upo mawinguni.

By the way ubunifu upo ndani ya mtu, haupo Dar es salaam, hao unaodhani ni watangazaji wa Dar walitokea mikoani kwenye local media wakaja Dar.... learn the history dogo....
 
Kuna mtangazaji,..wa abud fm nimemsikiliza kwa umakini mnoo ila nimeshindwa kumuelewa Ni DULA wa East Africa radio au sauti zinafanana tu...mwenye uelewa wa hili Jambo anijuze..
mimi pia mara ya kwanza kumsikia nilijua ni dulla
 
Nishaacha kusikiliza redio siku nyingi kwa sababu zangu binafsi. Nisingeacha ningekuwa naijua.

Nilikuwa napenda sana kipindi cha Sitasahau(RFA) kila jumapili, kusikiliza simulizi za mbalimbali za maisha ya watu katika hustle.

Ivi hiki kipindi RFA bado kipo?
Story ya K-Zi na safari yake ya kuzamia Sauzi ilibamba sana enzi hzo 2004
 
Labda umuulizi fedrick mundala (sky)
Nishaacha kusikiliza redio siku nyingi kwa sababu zangu binafsi. Nisingeacha ningekuwa naijua.

Nilikuwa napenda sana kipindi cha Sitasahau(RFA) kila jumapili, kusikiliza simulizi za mbalimbali za maisha ya watu katika hustle.

Ivi hiki kipindi RFA bado kipo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom