Je, huyu mtangazaji wa Abood ni Dullah wa EATV/ EA Radio?

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
1,809
2,000
Hivi talent za ukweli hamna these days hadi watangazaji wawe vilaza kama hako ka dada?..
Daah nashindwa kuelewa,,ila nahisi hawa ma Role models ndo wanatuua,Tunawaskiliza sana ili kujifunza kitu toka kwao mwishoe tunabeba hadi styles zao...Mwenyewe kidogo nianze kumuiga Ebro Darden nikasanuka😂😂
 

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
18,175
2,000
Nishaacha kusikiliza redio siku nyingi kwa sababu zangu binafsi. Nisingeacha ningekuwa naijua.

Nilikuwa napenda sana kipindi cha Sitasahau(RFA) kila jumapili, kusikiliza simulizi za mbalimbali za maisha ya watu katika hustle.

Ivi hiki kipindi RFA bado kipo?
Kipi lakini sikuhizi kimejaa UONGO, yaani mtu anahadithia vitu vya uongo hata akiulizwa maswali anajikanyaga tu hata anayemhoji anamuuliza kila Mara huo ni ukweli lakini??

Tofauti na zamani, Mimi labda nisikilize JE huu ni UUNGWANA??? jumapili kuanzia saa 2-3 asubuhi.
 

Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
10,697
2,000
Daah nashindwa kuelewa,,ila nahisi hawa ma Role models ndo wanatuua,Tunawaskiliza sana ili kujifunza kitu toka kwao mwishoe tunabeba hadi styles zao...Mwenyewe kidogo nianze kumuiga Ebro Darden nikasanuka
Maybe,role models wanawa-influence..Millard Ayo pia ana touches za Ryan Seacrest(American top40 host)..
 

Emmanuel Kasomi

Verified Member
Oct 18, 2019
965
1,000
Kuna mtangazaji,..wa abud fm nimemsikiliza kwa umakini mnoo ila nimeshindwa kumuelewa Ni DULA wa East Africa radio au sauti zinafanana tu...mwenye uelewa wa hili Jambo anijuze..
Kwa Avatar hiyo nilitegemea utakua unasikiliza TBC pekee.
Kumbe na Abood radio unasikiliza hongera mkuu
 

Smart Guy

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
4,513
2,000
Daah nashindwa kuelewa,,ila nahisi hawa ma Role models ndo wanatuua,Tunawaskiliza sana ili kujifunza kitu toka kwao mwishoe tunabeba hadi styles zao...Mwenyewe kidogo nianze kumuiga Ebro Darden nikasanuka
Kwahiyo chali angu na wewe umejitupa kwenye media.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom