Je, huyu mtangazaji wa Abood ni Dullah wa EATV/ EA Radio?

mfate42

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
3,768
4,260
Kuna mtangazaji,..wa abud fm nimemsikiliza kwa umakini mnoo ila nimeshindwa kumuelewa Ni DULA wa East Africa radio au sauti zinafanana tu...mwenye uelewa wa hili Jambo anijuze..
 
Ni kweli aisee,..huyu jamaa Jana usiku nlikuwa namsikiliza nikajua Ni Dulla wa eatv..kumbe anaiga swaga zake tu..
Tatizo watangazaji wa mikoani sio wabunifu, wanapenda kuiga swaga na sauti za watangazaji wa Redio/TV za Dar.
 
Abood Frequency Modulation ipo wapi? ndio mara ya kwanza kuisikia hapa
Serikali Ya Awamu Ya Tano Iko Mbioni Kuchimba Mfereji Kuanzia Bahari Ya Hindi Morogoro Ili Kuupa Hadhi Mkoa

Nakumbuka Mkuu Alisema
Kulala Katikati Kuna Faida Zake Unapata Ya Dar es salaam Na Dodoma Katikati Ni Pazuri Sana
 
Haa mkuu mbona Hawa jamaa wanapasua Sana mawimbi..Mimi nipo kijijin huku Kilimanjaro--mwanga ila nawapata vizuri Sana.
Ndo wenye mabasi ya abood..
Dj juse ndo yupo kwenye burudan..za migoma mikali..isikilize..hata online..utailewa tu.
Nishaacha kusikiliza redio siku nyingi kwa sababu zangu binafsi. Nisingeacha ningekuwa naijua.

Nilikuwa napenda sana kipindi cha Sitasahau(RFA) kila jumapili, kusikiliza simulizi za mbalimbali za maisha ya watu katika hustle.

Ivi hiki kipindi RFA bado kipo?
 
Serikali Ya Awamu Ya Tano Iko Mbioni Kuchimba Mfereji Kuanzia Bahari Ya Hindi Morogoro Ili Kuupa Hadhi Mkoa

Nakumbuka Mkuu Alisema
Kulala Katikati Kuna Faida Zake Unapata Ya Dar es salaam Na Dodoma Katikati Ni Pazuri Sana
Hahahahahahaaa, unapata vyote vinavyozunguka katikati
 
Nishaacha kusikiliza redio siku nyingi kwa sababu zangu binafsi. Nisingeacha ningekuwa naijua.

Nilikuwa napenda sana kipindi cha Sitasahau(RFA) kila jumapili, kusikiliza simulizi za mbalimbali za maisha ya watu katika hustle.

Ivi hiki kipindi RFA bado kipo?

Kipo kile kipindi bado. Ila zingine ni chai mule.

Ilikua inaanza kipindi cha “JE HUU NI UUNGWANA? La ASHA HUU SI UUNGWANA!” Hafu ndio zinakuja izo simulizi.

Hivi Fredwaa yupo wapi?
 
Back
Top Bottom