Je huyu Mchumba kweli ana nia ya kuolewa nami

Jamani mtaacha wangapi,hapo mtoto wakike anatingisha kiberiti kuhakikisha kama kimejaa,Mnakata tamaa kwa vitu vidogo anza kuongea nae kawaida bila kuweka maneno ya hisia baada ya muda ataanza yeye.

Nakubaliana na we Uporoto.....mwanaume uwe strong....mbadilikie kidogo kama wiki hivi uone....ashakuzoea na vile ushamtambulisha basi kiburi kiko juu.....she is on top of the world.....muonyeshe kiberiti kimejaa......!!!
 
Huenda umefanya haraka sana kumchumbia kabla ya kumchunguza vizuri. Samahani kwa kuuliza; Kabla ya kwenda ughaibuni ulifanikiwa kuunganisha wire chanya na hasi? yaani... did you do the needful?
Inaweza ikawa moja ya sababu za kukuchunia
 
pole kaka.bt minaona muda mwingine longdistance kataka love ina discourage sana.usiwaze takecare uko uliko then ukirudi salama mtakuwa wote kama kawaida.usikate tamaa.
 
pole kaka.bt minaona muda mwingine longdistance kataka love ina discourage sana.usiwaze takecare uko uliko then ukirudi salama mtakuwa wote kama kawaida.usikate tamaa.

Thanks for Encouragement. Ni kweli long distance ina Discourage lakini tuliliongelea hilo kabla safari sio, na kukubaliana vizuri tu. na ili tudumu ni kuwasiliana na kutiana moyo.
 
Nakubaliana na we Uporoto.....mwanaume uwe strong....mbadilikie kidogo kama wiki hivi uone....ashakuzoea na vile ushamtambulisha basi kiburi kiko juu.....she is on top of the world.....muonyeshe kiberiti kimejaa......!!!

Ni kweli maana kabla ya Engagement alikuwa ananihimiza niende kwao kupeleka what we call POSA, na sikuchukua mda nikapata safari, nilikuwa pia namridhia kila anachikitaka kwangu, kwa kweli huwa simkaripii kwa kosa lolote lakini yy nikimkosea ni Issue na hanionei tabu hata kidogo kuniambia lolote hata maneno mengine huwa yananipa wakati mgum. Lakini yote hayo I am not ready to loose her.
 
Well said mkuu. Wanaume na nyie saa nyingine mnakosea sana kubembeleza kupita kiasi

Sasa kipimo cha kubembeleza ni kipi au kiwangogani? Maana mm nimebembeleza tangu naazisha mahusiano, hajibu sim wala sms zangu, mpaka tumekuwa pamoja na mpaka sasa naendelea kubembeleza tu. Lakini ujue wanawake ni viumbe wa kubembeleza is it true? nafkiri anaogopa mm kuwa juu yake ndo maana anataka attention zaidi kutoka kwangu.
 
kitumbua kimeingia mchanga, keep your sorrows for tomorrow...
 
Back
Top Bottom