Je huyu Mchumba kweli ana nia ya kuolewa nami | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huyu Mchumba kweli ana nia ya kuolewa nami

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sambenet, Mar 10, 2011.

 1. sambenet

  sambenet Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli ni mgeni kwenye safu hii ya JF, lakini naomba ushari.
  Kuna msichana tulikubaliana kuoana, tumeshatambulishana na nimemchumbia tayari, kwa bahati nikapata safari ya ughaibuni hafla. tunawasiliana kwa sms au kumpigia mdamwengine. Tatizo nikimtumia sms za kuwa nampenda, namjali nafarijika kuwa nae lakini huwa hafurahii wala kunijibu kama na yeye ananipenda na badala yake hunitumia sms za kukatisha tamaa. lakini hajaniambia kuwa hanitaki. je nifanyeje?
   
 2. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Unataka akuambie expressly kuwa hakutaki?
   
 3. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuu mnajuwa saa zingine na sisi wanaume tunakosea sana.....Kama unamuonyesha upendo na kumwambia maneno matamu kama hayo ila yeye hajibu then stop kusema hivyo kwa mda ongea nae kama dada yako alafu utakuja kuniambie mwenyewe........utaona tu amebadilika!!
   
 4. sambenet

  sambenet Member

  #4
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio maana yake kama hataki ni kusema tu.
   
 5. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Kusema hawezi kwa sababu kasha kuwa mchumba wako ndio maana analeta za kuleta now!
   
 6. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  vunja ukimya. zungumza nae kuhusu hayo madai yako umsikilize atasemaje.
   
 7. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa na wewe acha kuwa unamtumia SMS ,mpigie simu za kawaida kumsalimia ..kama roho haijaanza kumuuma
   
 8. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Egyps unajua nini????????????

  wanaume wengi wanaokwenda nje wakirudi hawawakumbuki wapenzi waooooooo!! wakifika huko wanajifanya matawi ya juuu ama kuchukua wazungu au kuzaa nao kabisaaaaa, ili aambiwe fulani kazaa na mzungu!! huu umekuwa mtihani mkubwa sana kwa wasichana!!

  Nafikiri ndio ugonjwa unamsumbua girlfriend wako, hakuamini kama ukirudi utaendelea nae tena!!!

  Jaribu kuongea nae kuhusu hilo! hembu mtie moyo atakuelewa!!
   
 9. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Usisubiri kuambiwa hutakiwi mkaka, hiyo ni sign tosha kuwa hakutaki ila hawezi kukwambia na inategemea pia mmekaa kwenye uchumba kwa muda gani ndo mana inamuwia ngumu kusema..hizo ndo alama za nyakati,zisome uelewe.chukua uamuzi ulio bora kwako..goodluck
   
 10. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wewe fanya hivi. Mchunie na wewe kama ka wiki kamoja tu uone kama katatimia bila kukutafuta.

  Anakujaribu huyo na wewe unaanza kutetemeka hovyo. Chuna uone kama hajakutafuta hata simu atapiga
   
 11. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Well said. Amchunie aone kama hajaanza kulia lia
   
 12. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Well said mkuu. Wanaume na nyie saa nyingine mnakosea sana kubembeleza kupita kiasi
   
 13. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Jaribu kukata mawasiliano kwa muda, akikutafuta ujue bado anakupenda, akiuchuna nadhani utakuwa na jibu la uhakika.
   
 14. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  uko sawa sana mkuu. Ni kumuuliza tu moja kwa moja uwe na uhakika. Kwa jinsi atakavyokujibu utapata picha tu hata kama hatakuambia moja kwa moja. Usimwogope sana kwa sababu ni mchumba wako na inabidi kuwa wazi sana.
   
 15. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Pole kaka!
  Ushauri umeupata...lakaini mapenzi yana adha zake. Lazima utaumia na kujiwekea Possitive ya kupendwa...kama'akizidisha kukuumiza kwa kutokuridhisha/kukuonesha upendo. Ipo njia ya kufanya umsahau. Uni-PM.
  Kama hujui utawauliza humu humu wakuelekeze jinsi ya ku-PM. Ol ze best!.
   
 16. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  huo uchumba ni wenu au wa wazazi? I mean wazazi wenu ni ma-best friends?
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mnajadili nin?
  uchumba na ulaya ?
  au mchumba na kutoonyesha mapenz?
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  yaaani kusoma hujui hata picha tu kwamba huyu ni mbuzi au punda,ndo ushaachwa hivo mkuu
   
 19. n

  ntobistan Member

  #19
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Out of sight out of mind.Usichokion huwez kukifikilia Man km vip we sign out.Then kam ukirud utaanzish uhusian na lady mwingine!Km vp we jitoe 2 kwan Afande sele anasema hv katik Duribin kal.Mwanamke kam hatak usimbake kulazimish penz ni hatal saw na kulazimish fan kish mnalet utan!
   
 20. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani mtaacha wangapi,hapo mtoto wakike anatingisha kiberiti kuhakikisha kama kimejaa,Mnakata tamaa kwa vitu vidogo anza kuongea nae kawaida bila kuweka maneno ya hisia baada ya muda ataanza yeye.
   
Loading...