Je huyu 'Kipanya' kakosea kuchora picha hii ya mkulu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huyu 'Kipanya' kakosea kuchora picha hii ya mkulu?

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, May 21, 2012.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Support pours in for Zuma over vulgar painting


  [​IMG]


  [​IMG]


  By XINHUA
  Posted Monday, May 21 2012 at 15:42

  Support continued to pour in on Sunday for South African President Jacob Zuma over a vulgar painting that depicts him with his genitals exposed.

  Support gained momentum after the African National Congress (ANC) launched an urgent court case to stop the display and distribution of the painting from the Goodman Gallery in Johannesburg and the website of the City Press newspaper.

  Some cabinet ministers threw their weight behind the ANC, urging the gallery and the newspaper to remove the portrait.

  Justice Minister Jeff Radebe called for a ban on the painting, saying a criminal case of crimen injuria should be opened.

  "If that thing is called art, it is an insult to the dignity not only of the president but any human being. The dignity of the president has been violated," Radebe said.

  Arts and Culture Minister Paul Mashatile said while the government believed in the right of artists to freedom of expression, it should not dehumanise fellow citizens.

  "If an artwork doesn't respect reconciliation, it doesn't contribute to nation building. We can't have a situation where we are insulting each other every day," said Mashatile.

  In its latest attempt to stop the display and distribution of the painting, the government issued a statement, saying:

  "The government calls upon the Goodman Gallery to take down the offensive artwork and further calls upon the media to stop publicising the untasteful portrait. We also call upon the media to be more circumspect in what they publish as we rebuild a South Africa that was ravaged by apartheid."

  But the gallery and the newspaper have refused to budge, saying that would mean censorship.

  In his first reaction to the painting, Zuma said he was "shocked, and felt personally offended and violated" when he saw the copy of the painting for the first time.

  The image has been displayed to "millions within and outside the country," and that despite its removal, "it will continue to exist in the minds of those people who have seen it or had access to it," Zuma said in court papers served to the gallery and the newspaper.

  But the removal of the portrait from the gallery and City Press's website "will ensure the harm caused ... is limited to those who have seen it or had access to it."

  Zuma said the ANC takes exception "to the symbolism the portrait uses in order to portray the ANC through its president" as responsible for "abuses of power, corruption and political dumbness" -- the theme of the exhibition.

  Zuma's family also came up to show support for the president.

  "It (the painting) seeks to take away our father's dignity, and destroy his true character and stature as a man, a father, and a leader of the ANC and South African society at large," said a family statement.

  The painting has sparked a national debate on the issue of freedom of expression and the right to dignity.

  The Twitter website has been filled with messages, most of them expressing disgust at the painting.

  The painting, by artist Brett Murray, was distasteful and faded into insignificance when viewed against the backdrop of the bigger challenges facing the country, said the South African renowned poet and cultural activist, Mongane Wally Serote.

  "We are making something trivial important. We are blowing it out of proportion. Whatever inspired that art was completely mediocre and distasteful," he said.


  Support pours in for Zuma over vulgar painting*- Africa*|nation.co.ke
   
 2. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Freedom of expression gone too far, eeh?
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Ushaambiwa ukitaka heshima jiheshimu. Watu wamemchora Muhammadi, itakuwa Zuma?
   
 4. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huyu "Kipanya" hajakosea kwani sio siri kuwa Jacob Zuma ni mkware na hiyo picha ndio inavyoeleza!! Huyu jamaa alimkaza hata binti ya rafiki yake.
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  come on its just a cartoon for godsake.....
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Watu wamepinda ila why amind wakati ndo tabia yake iyo jamaa wamejaribu weka Lugha ya picha tuu
   
 7. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Nashangaa ! Watu wamemchora Mungu katundikwa mtini bila nguo, yuko taabani kwa mkongoto !
   
 8. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Jamaa amekosea sana hapo kwenye picha kuandika '... no apology to president Zuma...' Zapiro hapa kafanya kosa kubwa sana la kifasihi kushirikisha picha ya kuchora inayojieleza kuwa aliyechorwa ni nani na jina la picha inayemuelezea. Asinge mention neno Zuma hata kidogo, angeweza kutumia neno president which is a general title.

  Kwa picha hii mtu akikufungulia civil charge anakufilisi, japo inategemea na sheria za nchi husika. Marekani nobody cares na kufungua kesi kwa issue kama hii utaonekana mwehu.
   
 9. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Sijaelewa vizuri sheria na taratibu za huko South Africa, maana kama kumbukumbu zangu zipo vizuri basi ni kwamba Ze utamu walipomchora Kikwete kwa style inayofanana na hii ya Zuma, ilifungiwa ndani ya masaa tu, na hatujawahi kuiona tena. Inashangaza kwamba huko south africa, website inachora na desplay habari kama hizi, halafu serikali inaargue? Kweli Zuma hayupo serious? Au hana usalama wa taifa huko?
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,512
  Trophy Points: 280
  Obama kila siku anachorwa sembuse huyu mzee wa vimwana
   
 11. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu unaongelea vitu viwili tofauti kabisa. Ze utamu hawakumchora Kikwete bali walichukua picha yake halisi na kuifanyia photoshopping na picha nyingine halisi iliyo chafu. Hiyo ni jinai na si usanii, na hata kuchora picha ya uchi pia si usanii ila hii ya Zapiro ni usanii maana hapo kuna shower badala ya manhood.
   
 12. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Aisee Mind your tongue ...
   
 13. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ali kombo ustake kuchafua utaratibu wa hapa-maana nyie kwenu hamtaki katuni kama hizi,na usinifanye nizilete hapa
   
 14. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Ili uheshimike/uheshimiwe unaanza kwa kujiheshimu kwanza.
  Zapiro ndicho anachomueleza mkuu Zuma, mbali ya kuwa mkuu wa
  Nchi tabia zako chafu zinaendelea kukuumbua, nasi tutazianika
  hadharani kama hivi. Ni juu ya Zuma kuacha au kuendelea na nijuu ya
  Wananchi wenzie na pengine jumuia ya kimataifa kumkosoa na
  kumsawazisha. Kashfa ni pale unaposingiziwa au kuzushiwa!
  Liwapo kweli hata kama lina ladha ya kashfa linabaki kuwa
  UKWELI na madai yote hayo juu ya Zuma ni ya ukweli, haitakuwa
  rahisi kulipeleka swala hili Mahakamani watazidi kujichafua kwa kuliweka
  kwenye vyombo vya habari kwa muda mrefu.(maoni yangu: Jujuman)
   
 15. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nadhani mawazo ya wachoraji yamefika tu
   
 16. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Nashangaa hadi leo hakuna member aliyeikwaa hii AVATAR
   
 17. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #17
  May 24, 2012
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Hii ndio yenyewe...japo naomba munisamehe....


  [​IMG]
   
 18. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #18
  May 24, 2012
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135  Tazama katika video jinsi muafrika 'anavyohudumiwa' na jinsi mzungu 'anavyohudumiwa' japo walifanya kosa aina moja.
  Kweli safari bado ni ndefu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. F

  FJM JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hii issue kaikuza mwenyewe Zuma. Angeuchuna watu wangetembelea exhibition na kucheka cheka mchezo unaisha. Kitendo cha yeye kuingiza ANC, mara sijui mahakama kimefanya watu wengi zaidi kutoka ndani na hata nje ya South Africa kuwa na shauku ya kuiona hiyo picha inayoleta mgogoro. Lakini kwa umri wake huyu hana hobbie nyingine?
   
 20. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #20
  May 24, 2012
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  FJM,

  Hapo nimecheka kweli mazee...hivi kwani kwa sasa hobby yake nini vile?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...