Je, huyu atapona kwa imani ya nani????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, huyu atapona kwa imani ya nani?????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ms Judith, Apr 7, 2011.

 1. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kumekuwepo madai kuwa wale wasiopona kwa kikombe cha babu wamekosa IMANI. hapo chini kuna picha ya mgonjwa akilazimishwa kunywa dawa. sasa nauliza, huyu mgonjwa akipona kama ngugu/jamaa yake wanavyotazamia, atakuwa amepona kwa imani ya nani?

  NB:
  najua asipopona na kufa, mtasema siku yake ilifika, lakini akipona ugonjwa wake, atakuwa kapona kwa imani ya nani?

  1. ya babu?
  2. yake mwenyewe?
  3. ya ndugu zake?
  4. au ya nani?

  hebu pro-babu group tusaidieni hapa tafadhari

  Wednesday, 06 April 2011 22:16 0diggsdigg

  [​IMG]Mgonjwa akinyweshwa dawa kwa lazima na ndugu zake baada ya kugoma kunywa mwenyewe katika kijiji cha Samunge Loliondo jana


  source: Vita ya mapato yaibuka Loliondo
   
 2. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Umetumwa na Kakobe? Mbona huna jipya zaidi ya kumshambulia babu? Acha wenye shida wakatibiwe.Akili ni nywele na kila mtu ana zake.
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Waulize waislamu pale kwa babu wakienda wanaombewa kwa jina la nani?...watakwambia la yesu kwa hiyo huyo naye atapona kwa jina lipitalo majina yooote....
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,488
  Trophy Points: 280
  Watoto wadogo wanapoombewa na kina Kakobe na kupona, wanapona kwa imani ya nani?

  Huyu babu mbona mmemshupalia sana?
   
 5. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hahahaa.. yaani we Judith unanichekesha sana hehehe.. yetu macho tu, sasa tusemeje.
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ukstaajab ya musa! Sa huyo mgnjwa anaumw nn mpk wamlazmishe dawa hvyo? Maskin hana Iman na kkombe ila ndg ndo wanamlazmsha. Huyu akpona amepona kw Iman ya hao ndg zake!
   
 7. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135

  hebu nendeni direct kwenye swali na mjibu kama mnajua. kama hujui subirini wanaojua wataleta majibu.

  swali ni "ikitokea amepona, atakuwa kapona kwa imani ya nani"?
   
 8. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hahah, tusubiri tuone wataleta kisingizio gani kingine
   
 9. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  sasa kama imani ya ndugu yaweza kupona wale tunaosikia hawakupona na baadhi yao wamekufa, ina maana hawana ndugu wenye imani, yaani ukoo wao wote hakuna aliyekuwa na imani? na walifikafikaje samunge?
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Bendera fata upepo! C unajua cku hz wa2 wamepoteza ma2main? Hawamwamin tn Mungu wao, so wakckia kn babu kaoteshwa hawajiulz mara 2, wanatimka wooote! Hpo hkn cha iman wla nn cz mi kna wa2 nawafaham wamepta kkmbe bt bdo ni wagnjw km awal. Hyo tiba ni kubahatsha. Ukpona haya, ucpopona mrudie mungu wko! Biashara huria ck hz. Ujanja kuwahi.
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Miss Judith,
  1 unakumbuka wakati Yesu amekaa kwenye chumba kilichojaa watu akifundisha na kuwaombea wagonjwa,kuna mtu alikuwa hajiwezi.katika desperation yao wakafumua paa la nyumba na kumteremsha mgonjwa wao kwa godoro na kamba na Yesu akamponya...
  2 Sehemu nyingine kuna kijana alifariki,na mzazi wake (mjane) akamkimbilia Yesu kumuita aje amfufue.Akafufuliwa na Yesu akaagiza apewe uji..
  My take is,sio kila wakati mtu anapata uponyaji kwa imani yake mwenyewe bali hata kwa ajili ya walioamini kwa niaba yake. Huyo kwenye picha anaweza kuwa mwenye mapepo au kichaa,hawezi kunywa dawa wala kukubali maombi kwa amani. Nimetoa jibu generally la kiimani,sorry sikumbuki hiyo mistari bt i recall reading them from the Bible.
   
 12. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #12
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Possibly. Inawezekana ukoo wote hauna imani sasa sijui hata hiyo imani ya kwenda huko haihesabiki, maana si wanasema kitendo tu cha kuondoka na kwenda huko ni kwamba umeamini, ladba hiyo wameifuta.
   
 13. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #13
  Apr 7, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kwani dada judith, tatizo ni lipi linalokufanya ukose usingizi kila siku kisa babu? naona unamshikia bango kweli kwani kakuharibia dili gani ya kwako? wanaoenda wana akili timamu na wanajua nini wanafanya whether wanapona kwa uwezo wa Mungu (ambao ndio wote wanavyoamini) au wa shetani unavyoamini wewe, mwisho wa siku lengo ni kupona. na hata wasipopona, ni juu yao, just relax and find something else which is useful..for example why dont you preaach watu waache uzinzi, wasiachane kwenye ndoa ili watoto wasizagae mitaani, why not preach kwenye kujitolea kusaidia maskini etc. uwe na mapumziko mema.
   
 14. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #14
  Apr 7, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tatizo watu wanasoma biblia sehemu moja na kukomaa bila kujua sehemu nyingine inasemaje, nina mashaka kama judith anaijua vizuri hii biblia anayoitumia, na sijui kama anaelewa somo zima la imani. rudini kwa wachungaji wenu na maasikofu walioacha kufundisha biblia na kukazania kuhubiri mafanikio, kuolewa, kwenda ulaya, kupanda ndege na kupata kazi, ni vizuri waanze upya kufundisha biblia inasemaje na hususani somo zima la imani.
   
 15. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #15
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Its realy not that simple to answer your Q

  ..without knowing why at the first place ..he refused to take the herb!!
   
 16. F

  Fay2011 Member

  #16
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa imani ya wote, kinachotakiwa mgonjwa apone. Hivi babu kakukosea nini hadi unamsema sema hivyo?
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Again,Yesu aliulizwa na wanafunzi wake kuhusu mtu aliyezaliwa angali kipofu,endapo yeye ama wazazi wake ndo walitenda dhambi hadi ikawa hivyo. Alijibu (not exactly His words), HAYO YAMEKUWAKO ILI KAZI ZA MUNGU ZIDHIHIRIKE KWENU. Wakati mwingine pamoja na kuwa na imani tunapitia magumu,nadhani ni sehemu ya kujifunza na kujiweka karibu zaidi na Mungu.Ndo maana hata shetani alimuambia Mungu; Ayubu anakucha ww coz umembariki sana,gusa mali na watoto wake uone!So kupona ama kutokupona, kuugua ama kutokuugua sio suala la kiimani pekee:hail::violin:
   
 18. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #18
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Sichelei kuona kama Judith ni yule mama mwenye kanisa lake Pale .......

  Am sorry Judith your arguements have no grounds. Dawa ja babu kama inaponya au haiponyi sijui. Kwasababu sijanywa, na sijakutana na aliyekunywa aksenipa ushuhuda wa kupona au kutokupona.

  Hapa JF kuna shuhuda nyingi za kupona na Kutopona, Mitaani kuna shuhuda nyingi za kupona. Hizi zote nazisikia kutoka kwa third parties.
  Sasa miss Judith Posts zako zenye msimamo wa 100% kuwa dawa ya Babu ni utapeli. Zinanifanye nione kuwa kuna kitu babu kakupunguzia.

  Judith, usitake kuwapotosha watu!

  Wana JF please if you are Sick and Think that you can get well through Loliondo shots, Please go and have the CUP.
  IF you dont Trust Babu, why should you campaign for other people not to trsust him? Unapungukiwa nini kwa watu kupata kile kikombe cha babu?
   
 19. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #19
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Miss Judy mbona haumsemi yule mama wa Tabora?Nona is 2 late kumzungumzia babu kwa sasa.
   
 20. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #20
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  **** mifano mingi tu ya watu walioponywa kwa imani ya ndugu zao,tukianza na ABRAHAMU aliomba kwa mungu amponye ABIMELECK Genesis 20:17-18
  [SIZE=-1]The principle here is simple - faithful
  [SIZE=-1]Abraham prayed[/SIZE][SIZE=-1], and [/SIZE][SIZE=-1]God healed. Moses prayed[/SIZE][SIZE=-1] for leprous Miriam, and [/SIZE][SIZE=-1]God healed[/SIZE][SIZE=-1] her.[/SIZE]
  ,
  [/SIZE]mtumwa wa jemedari ALIPONYWA KWA IMANI YA JEMEDARI,, yupo binti yairo aliefufuliwa kwa imani ya baba yake,kijana mwenye kifafa Matthew 17:15, 18 ,kijana wa mjane ambae yesu alimfufua,lazaro na wengineo, SOma John 4:49-51 James 5:14-15[SIZE=-1] na kama wakumbuka watu walikuwa na imani wakawapeleka wagonjwa wao ili kivuli cha Peter kipate kuwaponya somaActs 5:15-16 pia wote walokuwa na vifafa au mapepo walipona kwani ndugu zao kwa imani waliwapelekwa kwa yesu somaMatthew 8:16-17....nakushauri miss judith usome maandiko vizuri na uyaelewe,ipo mifano mingi nkiandika hapa ntawachosha.[/SIZE]
   
Loading...