Je, huyu ananipenda?

earl

Senior Member
Aug 30, 2012
138
181
Habari zenu wanaJF,

Naombeni ushauri wenu. Nimekua katika mahusiano na huyu msichana kwa miezi 8 sasa. Ni msichana ambae anajiheshimu na hana makuu. Katika kipindi chote hiki ameweza kutenga muda wake kwa ajili yangu mara nyingi sana ikiwa ni pamoja na kunitembelea kwangu, kunipa company katika sherehe mbalimbali kama harusi, n.k.

Tatizo ni kwamba pamoja na kwamba tunapokua pamoja anakua mwenye furaha, na anafurahia company yangu, ni kwamba kila nikimweleza jinsi gani ninampenda na nina malengo nae huwa anajibu "asante". Hajawahi kunitamkia kwa mdomo, au hata kupitia msg kwamba ananipenda. Huwa anatoa tu shukrani za kawaida.

Wakati ninapokua nimekaa nae, nikijaribu kumshika, n.k, naona kama hakuna hisia zozote kwake.

Najiuliza vitu viwili, kabla ya kuwa na mimi alishawahi kutendewa ukatili fulani, au hanipendi.

Naombeni ushauri wenu.

Asante.
 
Kuna majibu mawili inaweza kuwa hakupendi au anamatatizo yake binafsi hebu muulize anashida gani
 
Hilo nalo neno, sio kila kiungo ukikishika kinaweza kumfanya awe na hisia sasa lazima ujue viungo nyeti vinavyo ibua hisia, mbal na Hilo upendo hujulikana kutokana na jinsi m2 unavyo kuchukulia. Nikimanisha rafiki au mpenzi hilo lazima uzingatie
 
Poleni sana vijana,....kashakuona hujitambui.,, hili si la kuja uliza hapa.
 
siku akija kukupa kampani mgegede halafu uzame uvinza kabisa halafu utuletee mrejesho
 
Huyo ana enjoy kampani yako mkuu ila kiukweli hana hisia zozote juu yako. Anakuchukulia kama rafiki na ndio maana unapotaka kuonyesha hisia zako kwake kama mpenzi, ana respond negative maana no feelings. Bakini kuwa kama kaka na dada tu, though sijui kama ushakula papuchi kwa style hiyo kweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom