Nawasubiri.😹😹😹😹 ngoja waje
Leta huo mkataba hapaUto mna ubongo mdogo hivi unajua ule mkataba na Atcl ulisemaje? Haya kaupitie kwanza kisha urudi hapa mheshimiwa utelembwende
Mkuu k
Mkuu 5000 usd na yenyewe unahisi kwamba watashindwa kulipa.
Wanalipa tena mapema,pesa ya Karanga kabisa,hata mimi pamoja na uchumi mgumu huu ninao uwezo wa kutoa hiyo pesa ukileta dill faster hata benk siendi.
Jaribu uone, pesa ya kidogo sana hiyo,maana munafikiri kwamba itashindwa kulipa.Uangalie na aibu kubwa mliolitia Taifa,swala siyo kulipa tu hiyo $5000.Btw wenye uwezo huo wa kutoa hiyo pesa binafsi wala hutowasikia wakiongea.Ukiona mtu anajisifia basi hizo ni kelele za debe tupu
Sema tu umeyatamani maungo yake ndiyo maana umeiweka hiyo picha. Shame!!!Hapa mmoja wao alilalamika haitwi Timu yake ya Taifa
Hata wewe ungemuita kweli? View attachment 1973118
Faini ya milioni 11 hata bumbuli analipa.RC wa Mara (tena Kwetu kabisa GENTAMYCINE) ulitoa Ahadi ya Tsh Milioni 10 kwa Timu ya Biashara United FC kama wakiifunga Simba SC na hawakufanikiwa.
Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM) Antony Mavunde hukuishia tu kutoa Ahadi ya Tsh Milioni 15 kama Dodoma Jiji FC wakishinda au Tsh Milioni 10 kama wakitoa Sare na Simba SC na hawakufanikiwa ambapo Walifungwa lakini pia uliwaambia Wachezaji wa Dodoma Jiji FC kwa Kutumwa na Yanga SC yako kuwa wahakikishe wanawaumiza Wachezaji Mahiri wa Simba SC ambapo kwa hili Walifanikiwa kwa 65% hivi.
Nimeona mahala kuwa Yanga SC inatakiwa Kulipa Faini ya Tsh Milioni 11 kwa Upumbavu wake mkubwa ilioufanya hasa katika CAF CL ilipocheza na Rivers United FC kutoka nchini Nigeria.
Je, huu siyo wakati Muafaka sasa wa akina RC Hapi na Mbunge Mavunde wakaitolea Yanga SC hiyo Faini ili kuonyesha Mapenzi yao kweli kwa Klabu yao na pia waweze Kutuonyesha Jeuri yao ya Pesa na waweze kupata Sifa zaidi kwa Mashabiki wao 'Oya Oya' wengi?
Mbona mayowe mengi lipeni haraka vinginevyo ban itawahusuFaini ya milioni 11 hata bumbuli analipa.
Wewe Ni akili ndogo na akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa.Hangaikieni kwanza usafiri wa timu yenu, inasemekana mnapanda daladala hadi Botswana.
Mbwembwe zilikuwa nyingi humu oh ATCL ATCL kiko wapi.
btw hiyo 11M ndogo sana kwa wananchi, kama tuliweza kuendesha timu misimu mi3 kwa bakuli tutashindwaje hiyo 11M
Naunga mkono hojaKuanzia sasa nitawashangilia wapinzani wa Biashara United siku zote.
Hawa Biashara hawana shukrani hata kidogo.
Simba tumewabeba kimataifa.
Tunaenda kwao kucheza nao wanapanga njama za kutuumizia wachezaji wetu.
Badala ya kutandaza soka,
Na wala hawakutupigia makofi kama kama heshima kwa Bingwa mtetezi na kama tulio wapeleka kimataifa.
Mpira wangeucheza tu wa wazi hata wangetufunga sawa tu.
Lakini kitendo cha kula njama na kutuumizia wachezaji wetu muhimu ulikuwa ni Ugaidi.
Tayari wameshakuwa makuwadi wa Yanga fc.
Basi wawabebe wao Yanga mwakani.
Biashara walipaswa kutuheshimu Simba na kutupigia makofi kwenye mechi yao kwao.
Wachezaji wetu walipambana kwa jasho na damu hadi wao leo hii wanacheza katika levo za kimataifa, hao hao wachezaji wanaowaumiza wamewafikisha kwenye hatua ambayo kwa uwezo wao wasingefika.
Kwa ujira wa m15 tu wanauza utu wao. Hapo kila mchezaji sana sana angeambulia laki mbili.
Na kwa kiburi hicho hawafiki mbali, watawafuata mabwana zao Yanga walio watuma kutuumizia wachezaji wetu kwa ujira wa pesa Kichele.
Shenzi kabisa.