Je, huu sio ubakaji wa kwenye ndoa?

Ah hako kabinti hakanifai. Mi nataka wazee wenzangu tunjunjane yale mambo ya zilipendwa... ikibidi kukatana mitama... imoooo!

Aaahahahahahaa babuuu, kuna ule mtama wa nyuma kwa nyuma.... halafu unadondokea eneo pendwa...

Umenusurika na ngiri lakini babu??!
 
“Wapenzi hebu nambieni ukweli

Iko hivi: Asubuhi umekorofishana na mumeo, wandoa kabisa, ukaanza kubwata, hakukujibu kitu kwakua anajua yy ndo mkosa, akaelekea kwenye mishe zake bila kukuomba samahani, aliporudi usiku akakusalimia kama kawaida, ukaitikia ukiwa bado umenuna, akaendelea na mambo yake, time ya kulala ikafika ukalala na kichupi chako, akaanza kukuchokonoa, akakuta una kichupi, akatoka kimyakimya, ww ukavuta shuka kichwani hadi miguuni, akaja na mkasi, shuka likatupwa kule, kichupi kikachanwa kibabe, ukapigwa roba moja kali ukachezea paip (pipe) mpaka ukajikuta unaomba ww samahani.

Sasa si kakubaka huyu unaweza ukamshitaki kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa?”

Katika pita pita zangu fb nimekutana na hii,kwanza nikiri kuweka mambo ya mahusiano mtandaoni si kitu cha hekima lakini kilichonipa attention yangu ni hapo jamaa alipoenda kutafuta mkasi na huko kukabwa ‍♀‍♀wanaume shkamoo zenu.
Hahaaaa
 
Yaani shwaaap mara blanket tupa kule. Kitu kinatelezea taratiiibu afu baadae kinakaza mwendo. Protini ikishuka, shuka linatafutwa mnajifunika gubigubi kuisikilizia mvua usingizini... gadeim mahaba mahabati

Baabuuu mambo ya kufanya tuvishurutishe vibomba vya kazini sio banaaa, daaah hakyananii malabuku zako na nusu.......

Ngoja niende parking looh cha kujifia...
 
Wengine wanakuita tu ukidai hutoi ushirikiano hawana haja ya kuchana wanaingia humu ndani kwa ndani naunaishilia kutoa miguno ya lugha tofauti yes hapo hapo na mingine
 
“Wapenzi hebu nambieni ukweli

Iko hivi: Asubuhi umekorofishana na mumeo, wandoa kabisa, ukaanza kubwata, hakukujibu kitu kwakua anajua yy ndo mkosa, akaelekea kwenye mishe zake bila kukuomba samahani, aliporudi usiku akakusalimia kama kawaida, ukaitikia ukiwa bado umenuna, akaendelea na mambo yake, time ya kulala ikafika ukalala na kichupi chako, akaanza kukuchokonoa, akakuta una kichupi, akatoka kimyakimya, ww ukavuta shuka kichwani hadi miguuni, akaja na mkasi, shuka likatupwa kule, kichupi kikachanwa kibabe, ukapigwa roba moja kali ukachezea paip (pipe) mpaka ukajikuta unaomba ww samahani.

Sasa si kakubaka huyu unaweza ukamshitaki kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa?”

Katika pita pita zangu fb nimekutana na hii,kwanza nikiri kuweka mambo ya mahusiano mtandaoni si kitu cha hekima lakini kilichonipa attention yangu ni hapo jamaa alipoenda kutafuta mkasi na huko kukabwa ‍♀‍♀wanaume shkamoo zenu.
mbinu mujarabu kabisa hii, kuanzia sasa mkasi hautakosa hapa room 😂 😂 😂
 
Mkiachwa wenyewe mtawehuka kama hivi
 
“Wapenzi hebu nambieni ukweli

Iko hivi: Asubuhi umekorofishana na mumeo, wandoa kabisa, ukaanza kubwata, hakukujibu kitu kwakua anajua yy ndo mkosa, akaelekea kwenye mishe zake bila kukuomba samahani, aliporudi usiku akakusalimia kama kawaida, ukaitikia ukiwa bado umenuna, akaendelea na mambo yake, time ya kulala ikafika ukalala na kichupi chako, akaanza kukuchokonoa, akakuta una kichupi, akatoka kimyakimya, ww ukavuta shuka kichwani hadi miguuni, akaja na mkasi, shuka likatupwa kule, kichupi kikachanwa kibabe, ukapigwa roba moja kali ukachezea paip (pipe) mpaka ukajikuta unaomba ww samahani.

Sasa si kakubaka huyu unaweza ukamshitaki kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa?”

Katika pita pita zangu fb nimekutana na hii,kwanza nikiri kuweka mambo ya mahusiano mtandaoni si kitu cha hekima lakini kilichonipa attention yangu ni hapo jamaa alipoenda kutafuta mkasi na huko kukabwa ‍♀‍♀wanaume shkamoo zenu.

Huyu anashitakiwa na serikali ya vijiweni, tunamshika na kumpa adhabu ya kushika ukuta au mti ili kumshikisha adabu tu. Akitoka hapo anakuomba msamaha na kukuambia kuanzia leo anataka kuchukua nafasi yako, yaani atataka kupakatwa na yeye huku akiminywa dushe na sisi serikali ya kijiweni. Kama limekukuta jambo kama hili, tafadhali usisite njoo utuone haraka sana.
 
“Wapenzi hebu nambieni ukweli

Iko hivi: Asubuhi umekorofishana na mumeo, wandoa kabisa, ukaanza kubwata, hakukujibu kitu kwakua anajua yy ndo mkosa, akaelekea kwenye mishe zake bila kukuomba samahani, aliporudi usiku akakusalimia kama kawaida, ukaitikia ukiwa bado umenuna, akaendelea na mambo yake, time ya kulala ikafika ukalala na kichupi chako, akaanza kukuchokonoa, akakuta una kichupi, akatoka kimyakimya, ww ukavuta shuka kichwani hadi miguuni, akaja na mkasi, shuka likatupwa kule, kichupi kikachanwa kibabe, ukapigwa roba moja kali ukachezea paip (pipe) mpaka ukajikuta unaomba ww samahani.

Sasa si kakubaka huyu unaweza ukamshitaki kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa?”

Katika pita pita zangu fb nimekutana na hii,kwanza nikiri kuweka mambo ya mahusiano mtandaoni si kitu cha hekima lakini kilichonipa attention yangu ni hapo jamaa alipoenda kutafuta mkasi na huko kukabwa wanaume shkamoo zenu.
habari za Facebook za kipumbavu sana
 
Mkuu hivi mfano wewe mke wako akikukosea na hajakuomba msamaha anataka mmalize kienyeji tu utakubali??
ndio kwasababu huwa wanaamini wao hawakosei....na kaa usitegemee eti mwanamke akikukosea akupigie magoti kila siku we ni mwanaume
 
Back
Top Bottom