KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Kwanini uvae chupi! tuanzie hapo kwanza, make ungevaa jinsi kuonyesha uko serious.
mwanamke mpumbav huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyeweNa la zaidi, kumnyima unyumba sio adhabu, ni kubomoa nyumba yako ukiwa unaona!
Hakimu asije naye akamkaba kwa mara ya pili...! AhahahaEehehehehheee ushahidi mwaya, ni hapo hakimu taposhikwa na midadi wakati wa kuangalia ushahidi aahahahhahahaaaa.
Mkuu hapa kwetu Tz sheria ipo kimya kuhusu ubakaji ndani ya ndoa
Pale ulipo kubali kuolewa umekubaliana na yote
Ah hako kabinti hakanifai. Mi nataka wazee wenzangu tunjunjane yale mambo ya zilipendwa... ikibidi kukatana mitama... imoooo!
Hahaaaa“Wapenzi hebu nambieni ukweli
Iko hivi: Asubuhi umekorofishana na mumeo, wandoa kabisa, ukaanza kubwata, hakukujibu kitu kwakua anajua yy ndo mkosa, akaelekea kwenye mishe zake bila kukuomba samahani, aliporudi usiku akakusalimia kama kawaida, ukaitikia ukiwa bado umenuna, akaendelea na mambo yake, time ya kulala ikafika ukalala na kichupi chako, akaanza kukuchokonoa, akakuta una kichupi, akatoka kimyakimya, ww ukavuta shuka kichwani hadi miguuni, akaja na mkasi, shuka likatupwa kule, kichupi kikachanwa kibabe, ukapigwa roba moja kali ukachezea paip (pipe) mpaka ukajikuta unaomba ww samahani.
Sasa si kakubaka huyu unaweza ukamshitaki kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa?”
Katika pita pita zangu fb nimekutana na hii,kwanza nikiri kuweka mambo ya mahusiano mtandaoni si kitu cha hekima lakini kilichonipa attention yangu ni hapo jamaa alipoenda kutafuta mkasi na huko kukabwa ♀♀wanaume shkamoo zenu.
Yaani shwaaap mara blanket tupa kule. Kitu kinatelezea taratiiibu afu baadae kinakaza mwendo. Protini ikishuka, shuka linatafutwa mnajifunika gubigubi kuisikilizia mvua usingizini... gadeim mahaba mahabati
Hakimu asije naye akamkaba kwa mara ya pili...! Ahahaha
mbinu mujarabu kabisa hii, kuanzia sasa mkasi hautakosa hapa room 😂 😂 😂“Wapenzi hebu nambieni ukweli
Iko hivi: Asubuhi umekorofishana na mumeo, wandoa kabisa, ukaanza kubwata, hakukujibu kitu kwakua anajua yy ndo mkosa, akaelekea kwenye mishe zake bila kukuomba samahani, aliporudi usiku akakusalimia kama kawaida, ukaitikia ukiwa bado umenuna, akaendelea na mambo yake, time ya kulala ikafika ukalala na kichupi chako, akaanza kukuchokonoa, akakuta una kichupi, akatoka kimyakimya, ww ukavuta shuka kichwani hadi miguuni, akaja na mkasi, shuka likatupwa kule, kichupi kikachanwa kibabe, ukapigwa roba moja kali ukachezea paip (pipe) mpaka ukajikuta unaomba ww samahani.
Sasa si kakubaka huyu unaweza ukamshitaki kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa?”
Katika pita pita zangu fb nimekutana na hii,kwanza nikiri kuweka mambo ya mahusiano mtandaoni si kitu cha hekima lakini kilichonipa attention yangu ni hapo jamaa alipoenda kutafuta mkasi na huko kukabwa ♀♀wanaume shkamoo zenu.
Ahahah weka mbali na totooh!Aaahahahahahahhaaaaa hatariiii
Sasa hamu zikiisha kuna hasira tena?! Si na mnuno ndio unakuwa umekwisha tenaHakuna ubakaji hapo, hata mkigombana vipi, huwez mnyima mkeo/mumeo unyumba,, mengne mtazungumza hamu zikiisha..
“Wapenzi hebu nambieni ukweli
Iko hivi: Asubuhi umekorofishana na mumeo, wandoa kabisa, ukaanza kubwata, hakukujibu kitu kwakua anajua yy ndo mkosa, akaelekea kwenye mishe zake bila kukuomba samahani, aliporudi usiku akakusalimia kama kawaida, ukaitikia ukiwa bado umenuna, akaendelea na mambo yake, time ya kulala ikafika ukalala na kichupi chako, akaanza kukuchokonoa, akakuta una kichupi, akatoka kimyakimya, ww ukavuta shuka kichwani hadi miguuni, akaja na mkasi, shuka likatupwa kule, kichupi kikachanwa kibabe, ukapigwa roba moja kali ukachezea paip (pipe) mpaka ukajikuta unaomba ww samahani.
Sasa si kakubaka huyu unaweza ukamshitaki kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa?”
Katika pita pita zangu fb nimekutana na hii,kwanza nikiri kuweka mambo ya mahusiano mtandaoni si kitu cha hekima lakini kilichonipa attention yangu ni hapo jamaa alipoenda kutafuta mkasi na huko kukabwa ♀♀wanaume shkamoo zenu.
Hakikamwanamke mpumbav huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
Mkiachwa wenyewe mtawehuka kama hivi
View attachment 1228282
habari za Facebook za kipumbavu sana“Wapenzi hebu nambieni ukweli
Iko hivi: Asubuhi umekorofishana na mumeo, wandoa kabisa, ukaanza kubwata, hakukujibu kitu kwakua anajua yy ndo mkosa, akaelekea kwenye mishe zake bila kukuomba samahani, aliporudi usiku akakusalimia kama kawaida, ukaitikia ukiwa bado umenuna, akaendelea na mambo yake, time ya kulala ikafika ukalala na kichupi chako, akaanza kukuchokonoa, akakuta una kichupi, akatoka kimyakimya, ww ukavuta shuka kichwani hadi miguuni, akaja na mkasi, shuka likatupwa kule, kichupi kikachanwa kibabe, ukapigwa roba moja kali ukachezea paip (pipe) mpaka ukajikuta unaomba ww samahani.
Sasa si kakubaka huyu unaweza ukamshitaki kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa?”
Katika pita pita zangu fb nimekutana na hii,kwanza nikiri kuweka mambo ya mahusiano mtandaoni si kitu cha hekima lakini kilichonipa attention yangu ni hapo jamaa alipoenda kutafuta mkasi na huko kukabwa wanaume shkamoo zenu.
ndio kwasababu huwa wanaamini wao hawakosei....na kaa usitegemee eti mwanamke akikukosea akupigie magoti kila siku we ni mwanaumeMkuu hivi mfano wewe mke wako akikukosea na hajakuomba msamaha anataka mmalize kienyeji tu utakubali??