Je huu ni uvunjaji wa heshima? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huu ni uvunjaji wa heshima?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Quemu, Jan 23, 2009.

 1. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Je hii imekaaje? Je wives/girlfriends wanavunjiwa heshima na husband/boyfriend wenye tabia hii? Je huku ni kucheat?
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Yeah thats cheating..

  Halafu ni vizuri kutofautisha 'mambo ya kikubwa' na mambo ya kikubwa (bila '') ..hizi phrases 2 zina maana tofauti kubwa kama vile mashariki na magharibi..
   
 3. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Well, mimi nazungumzia ile tabia ya kushabikia mambo ya kikubwa kwenye mitandao. Hii haina maana kuwa kuna "utokaji wa nje." Kwa maneno mengine, kuwa addictive na porn site na movies.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160

  Kaka naona bado , Ndo maana nikasema:

  Kuhusu kutoka nje, ni pamoja na kujenga HISI nje ya mahusiano mliyokubaliana kuyalinda.
   
 5. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Labda pengine ungeeleza tofauti.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Iko nje ya mada, lakini nitajitahidi, kwa kifupi.

  Ni hivi: Kwa wale wanaomhofia Mwenyezi Mungu huwa wanakuwa wakali sana na lugha hizi za kibiashara kuingizwa kila pahala..Mathalan, hili la FILAMU ZA ZINAA NA UZINZI zinapewa jina zuri eti ni FILAMU ZA WAKUBWA..Hamna ukubwa wowote hapo basi tu ni ukengeufu na ubatili vinakumbatiwa


  Turejee kwenye mada..
   
Loading...