Hapo mbona hueleweki mbona?kupandinda bei ya maziwa mtindi ukidai eti petrol imepanda bei
kualika watu baa alafu badala ya kuzungusha round we unazungusha pembetatu, yani wewe,demu wako na shemejio
Ahahahahaaah!! Hii imefunika zote...kumfukuzia msichana mpaka kanisani,alafu unajifanya unampa ofa ya kumtolea sadaka eti''usihofu dada acha tu nitatoa na ya kwako''
ni mupe mupe muruke tukualika watu baa alafu badala ya kuzungusha round we unazungusha pembetatu, yani wewe,demu wako na shemejio
kumfukuzia msichana mpaka kanisani,alafu unajifanya unampa ofa ya kumtolea sadaka eti''usihofu dada acha tu nitatoa na ya kwako''
kuingia ofisi za watu na t-shirt lako limeandikwa ''kama vp nipotezee''