Je huu ni ustarabu wakuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huu ni ustarabu wakuu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by drphone, Feb 4, 2011.

 1. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wakuu nipo ndani ya kipanya ninapoandika hii post jirani yangu kuna mama na mtt mdogo kama 3yrs mama anandizi kamenya anakula kinachoniuma moyoni sio njaa bali kitendo chake cha kunichafua chafua nayo begani ukimwambia anakwambia sory ile harufu yake inanikera mana raha ya ndizi umenye mwenyewe sio umenyewe.
   
 2. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  pole
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni karaha, ila ndio hali ya vyombo vyetu vya usafiri wa umma...jitahidi vumilia.
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  asante mkuu yani we acha tu
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kweli ila nashuru alikuwa mtarabu nilipomwambia unanichafua akajb samahani wengine wanamajb ni balaa
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  pole Dr,ndo karaha za kila siku za usafiri wetu wa umma.....:coffee:
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Pole, kama umemwambia kwa upole bado anaendelea basi mkaribie, (But kwa heshima ni mtu mzima huyo)
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  asante binamu we acha tu
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yani ckutegea mana kunacku m2 alinikanyaga na akaendelea kunikanyaga yale maumivu nikatoa mguu kwa nguvu na kumpush mana bado nimzito majb alonipa nusura tupigane ila kwa busara za abiria wakatuamulia nikakumbuka gari yangu nimepaki coz mbovu
   
 10. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  pole drphone!
  Kipanya cha morogoro?
  Tutajie basi huo mkoa!
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu ni hapa hapa dar
   
 12. NEGLIGIBLE

  NEGLIGIBLE JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Pole...................lakini ukiwa tanzania mambo kama hayo ni ya kawaida sana,nakushauri ujifunze kuyazoea,otherwise utagombana na watu kila siku,kama uko vizuri tafuta kausafiri kako...............
   
 13. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Thats true inakera vibaya, nakumbuka siku moja mchana nawahi zangu kazini si katoto kamepewa ICE CREAM na mama yake kakachafua shati langu nikaishia kupewa samahani, nilimaindi ile mbaya kimoyomoyo basi tu.
   
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ebu ona mkuu ukweli tukiamua kuweka hizi kero wazi mwisho wa siku tutakubaliana watanzania wengi atuna ustaharabu mfano kama huo wako wakujua kwamba upo kwenye usafiri wa umma ufanyaje usimsumbue mwenzako kila mtu yupo huru ila uhuru wako usinipe karaha jirani yako sawa na mtu anavuta sigara kwenye gari anakwambia moshi na pulizia nje kweli huyu utasema ni mstaharabu
   
 15. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  asante mkuu hayazoeleki ata kidogo lazima tujifundishe ustaharabu mkoko ninao ndomana najionea tabu baada ya kupata breakdown soon nitarudi road ila nimejifunza mengi nimeona mengi kila cku lazima nikutane na vtuko
   
Loading...