Je, huu ni upungufu/ukosefu wa nguvu za kiume?

mchajikobe

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
2,652
1,238
Kunatatizo linanisumbua sana, tatizo lenyewe ni kwamba ninapokuwa na mwanamke, kabla ya kufanya lile tendo mashine huwa inasimama sana lakini pale nikitaka ku Do tu mashine inalala,hii inasababishwa na nini?

Nimeshaulizia kwa madokta lakini wanasema ni phsychological problems, kutokuwa na hisia, lakini mpaka sasa hali hii inaendelea tuu, nakosa raha kabisa naomba mnisaidie juu ya hili, sababu haikuanza muda mrefu lakini imeshajitokeza sana.

Asubuhi jogoo kama kawaida anawika,tatizo nikwamba nikitaka ku doo tu,analala!!
 
mhh...kazi ipo ngoja tusubiri wataalamu wakusaidie maana tatizo lako ni ishu....kushindwa kudoo inaondoa heshima....
 
Yes, it is psychological. Mbele ya mwanamke unashtuka na kufadhaika. Yawezekana unakuwa hujiamini kama utafanya vizuri. Hii inatokea hasa kama mwanamke mara yako ya kwanza kukutana naye. Jaribu kutulia, kujenga confidence na kuondoa wasiwasi/woga.
 
Nadhani jamaa anakuwa anahofu jinsi atakavyo perform na matokeo yake hofu hiyo inamwondolea concentration kutoka kwenye kumega na kwenda kwenye kuwaza jinsi atakavyomega.
 
Mwambie huyo shost amshike shike jogoo kama akilala, labda itasaidia kumuamsha na itaweza kufanya na wewe hujiamini.
 
Kaka,kuna mambo mengi unaweza kufanya kuepuka hilo tatizo lako.
1.Jaribu kulala nae /kumzoea huyo mwenza wako,namaanisha waweza kulala naye bila ku-do,tena mkiwa naked.
2.Waweza kutumia kidogo kama wine hivi,au ka beer hivi itakusaidia temporary kuondoa wasiwasi .
3.Usisahau kutumia condom
 
Kuna masuala mengi hapo inatakiwa uyaeleze,

Je , hali hiyo hutokea sababu ume vaa condom, kuna wengi wakiwa wanataka ku do wakiona condom tuu kitu kina lala.

Je , huna haliyetote ya ki bisexual, labda una matamanio zaidi kwa male kiasi cha kushindwa ukiwa na demu.
 
Nope,hutokea once nikitaka kuvaa kondom ndio hulala,lakini siwezi sema labda husababishwa au nina alergy na kondom,b 4 that nilikuwa navaa fresh na hailali,imetokea suddenly tu,sasa sijui nini chanzo,kuhusu u bisexual mimi huwa sina hisia hizo since day one!!
 
Ndg kwanza pole kbs,

Hivi ni demu/mke wako? i.e ni wa one night stand?

Siajabu Mungu anakuepusha na kitu... it could be good sign.
 
Back
Top Bottom