Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,460
- 78,664
Wana jf..katika pita pita zangu katika mitandao nimekutana na hizi blog moja inaitwa mzeewasupu na nyingine inaitwa maishamatamu..kwa kweli nimeshangaa sana...kuona picha za wadada wa kitanzania..watu maharufu na wengine watu wakawaida wakiwa wamepiga wa kupigwa picha za utupu.....inasikikitisha kama si kufurahisha na kuhuzunisha.....
Angalizo; hivi hakuna uwezekano wakusajili hizi blog?
Angalizo; hivi hakuna uwezekano wakusajili hizi blog?