Je huu ni ujio mwingine wa the Utamu?

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
36,507
76,465
Wana jf..katika pita pita zangu katika mitandao nimekutana na hizi blog moja inaitwa mzeewasupu na nyingine inaitwa maishamatamu..kwa kweli nimeshangaa sana...kuona picha za wadada wa kitanzania..watu maharufu na wengine watu wakawaida wakiwa wamepiga wa kupigwa picha za utupu.....inasikikitisha kama si kufurahisha na kuhuzunisha.....

Angalizo; hivi hakuna uwezekano wakusajili hizi blog?

Ngoja nichekie kwanza!! Nitarudi, manake nilikuwa nazitafuta kweli

Mbona blog haipatikani?
Wana jf..katika pita pita zangu katika mitandao nimekutana na hizi blog moja inaitwa mzeewasupu na nyingine inaitwa maishamatamu..kwa kweli nimeshangaa sana...kuona picha za wadada wa kitanzania..watu maharufu na wengine watu wakawaida wakiwa wamepiga wa kupigwa picha za utupu.....inasikikitisha kama si kufurahisha na kuhuzunisha.....

Tafadhali..Tembelea...www.mzeewasupu.blogspot.com..ujionee mwenyewe..

Angalizo ..hivi hakuna uwezekano wakusajiri hizi blog?

sizinga-hapo we click sehemu inayosema i want to continue,mkuu usiniangushe try again

Ila hyo maishamatamu, mwanzon kabisa anakataza watu kujipiga picha hasa wanafunz na kumtumia. So unajilipua alaf unamtumia...

mm sioni kama kuna kipya watu wanataka kujifunza katika hizi blog zaidi ni marudio tu...maana kama ni uchafu uko wa LIVE wala co wa kuangalia kwenye comp...kwa iyo acha wadau watupie tu!!!

mm sioni kama kuna kipya watu wanataka kujifunza katika hizi blog zaidi ni marudio tu...maana kama ni uchafu uko wa LIVE wala co wa kuangalia kwenye comp...kwa iyo acha wadau watupie tu!!!

hakuna biashara inayolipa kama nudity mi naona wabongo tumechelewa kwenye hii million bussines, kisheria hakuna sheria inayombana mtanzania kuanzisha gazeti au website za kikubwa.kisa ya ze utamu kufungwa ni ile picha ya kikwete,jamaa angekuwa mjanja leo angekuwa kabilionea.SEX SELL THAN OIL

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom