Je huu ni ujasiriamali?...ubahili?...... ujinga?.... plain stupidity?...... au suicide?

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,857
13,140
View attachment 126036
Nimeikuta hii kitaa cha Mwenge /Mikocheni huko.
Jamaa hana helmet, kabeba mzigo oversize-tena wenye ncha kali!
-abiria kabeba mzigo kinamna!
-mbaya zaidi pikipiki ikipata mwendo tunaoufahamu rahisi jamaa kupaa hewani kwa principles za aerodynamics!!!

Wakati mwingine maswali haya lazima tujiulize,je huu ni ujasiriamali au ubahili, ujinga au mtu anataka kujinyonga barabarani?
 
masopakyindi hawa jamaa wanaobeba mizigo mikubwa kwenye toyo ni balaa
Unakutana na mwingine kabeba mzigo wa mbao na kw aupana so zimechukua upana wa nusu barabara sasa sijui akikutana na kichaa anaovertake sijui inakuwaje hapo
 
Last edited by a moderator:
masopakyindi hawa jamaa wanaobeba mizigo mikubwa kwenye toyo ni balaa
Unakutana na mwingine kabeba mzigo wa mbao na kw aupana so zimechukua upana wa nusu barabara sasa sijui akikutana na kichaa anaovertake sijui inakuwaje hapo
Kwa kweli hao madereva wa bodaboda/Toyo/Bajaj huwa hawajithmini maisha!!!
 
Kwa kweli hao madereva wa bodaboda/Toyo/Bajaj huwa hawajithmini maisha!!!

Kuna tatizo maana huwezi kubeba mzigo wa kioo kitefu kupita wewe abiria au mlango ambao ni mpana unachukua nusu ya barabara au mbao zinachukua nusu ya barabara
Niliwahi kukutana na mmoja amebeba mtungi wa gezi ule mkubwa na kaufunga na ile kamba za manati kwenye toyo sasa mtungi unateleza na lililotokea ni kuteleza kwa ule mtungi na kuchoropoka kutoka kwenye kamba zake karibu toyo imuue jamaa maana alikuwa barabarani speed na toyo yake na nyuma yake kuna magari nayo yana kasi
 
Hapo moment of inertia ya kioo inasaidia kubalance pikipiki hivyo si rahisi kwa pikipiki kuanguka, kuliko wasingekuwa na kioo :cool:
 
Ahahahah hii post ingepelekwa kwenye Jokes na Utani.....inachekesha sana,,,ukiangalia kwa umakini ahahahhaha tumebakiza kuona bodaboda imebeba gari tu...ahahhahaha mi nshaona iliyobeba mabati,
 
Back
Top Bottom