Je huu ni mwisho wa Betri? Utafiti mpya unabaini ndiyo!

Chenchele

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,925
2,398
Watafiti sasa wanaweza kuona jinsi gani ions zina ungana ndani ya Supercapacitors...na hii inamaanisha itabadili kabisa jinsi ya kuchaji vitu vya umeme.
f17e8f6e38fa1642ba06f0cda4ae253f.jpg

Ni miaka 200 sasa tangu betri ya kwanza kuundwa na kwa muda wote betri za AAAs zimeonesha uwezo wake katika field mbalimbali remote controls, roboti ndogo na vinginevyo vimethibitisha kufanya kazi kubwa kwa kuwa na betri ndani yake na kila mmoja ameshuhudia umuhimu wa betri kwa miongo kadhaa.

Betri imekuwa kifaa muhimu sana na ndiyo kifaa pekee cha umeme kilicho saidia consuner electrical devices kuwa portable na kutawala soko kuliko desktop devices.

Lakin watafit kutok Cambridge na Ufaransa wamepata njia ni nin kinatokea ndani ya supercapacitor. Betri za kawaida zinatumia muunganiko wa kemikali kuzalisha na kutunza umeme lakn Supercapacitor zenyewe zina hasi(-) na chanya (+) katika ions ndani ya electrolyte ambazo hizi hasi na chanya hujishikiza ukutani mwa electrodes wakati supercapacitor ikiwa inachajiwa.
dbfcaa12fc5c7d5ce3341e32a02e8e2d.jpg

Kitendo cha - na + kujishikiza katik ukuta wa electrodes za supercapacitor kinatokea haraka sana katika muda mchache kuliko muda ambao muunganiko wa kemikali ndani ya betri kuunda umeme na hii ni kaamba supercapacitors zinachajiwa haraka zaidi ya betri.

In short ni kuwa...unapo charge betri ya kawaida kemikali zinaungana kwanza ndipo zinazalisha umeme ambao ni - na +, lakin unapo charge supercapacitor - na + huenda ukutani mojakwamoja na huzalisha umeme.
c3f8ef75cfdc1c45a1245d6c156be6c1.jpg

Technolojia hii inaweza kupoteza kabisa betri za kemikali katika soko na matumizi

Pia katika issue za usalama betri ni hatari kwakua inamemikali amazo zikikumwagikia unajua utam wake...lakn supercaoacitor hazna kemikali

Hapo mwanzo electrical cars zilikuwepo lkn kwa ugumu na muda mwingi wa kuchaji betri bas Fuel car zikadominate soko mpaka leo ingawa soko la electrical cars limeanza kurudi ila kwa mfumo uleule wa chemical betri na hybrid cars...lakin sana utaweza kuchaji muda mfupi charging station kama unajaza mafuta vile ....na wanasema inaweza kuwa mwisho wa fossil fuel cars.

Source: Nature Materials.
 
Naaam, maisha yanazidi kuwa rahisi.....acha wanasayansi watusaidie SISI wanasiasa(Africa) angalau kushuhudia kwa macho mageuzi ya kiteknolojia......

Weee, kila siku ni hoja za kipuuzi tu....mabingwa wa mipango hewa na wakali wa statistics....uchumi unakuwa kwa 7% kila mwaka tangu enzi za Ben....

Eti tumesomesha wengi saaaaaana, waliosoma wengi ndo haooooo wanasonga....

Tena wamenikumbusha wale wanaojinadi eti wao wasomi humu na kudharau wengine, oneni wasomi wanachofanya huko.....hata hadhi ya kuwa COPY ya wasomi tuuu hamjaifikia...

Samahanini.......
 
Na utakuwa ndiyo mwisho wa kiburi cha waarabu, mbaf sana!
Mpaka 2025 kutakuwa na 50% ya electrical car on world roads.
Sijuw inchi imejipangeje na hiki kitu maana mafuta na magesi yatabaki matoy hata research centers tu hatuna
 
Naaam, maisha yanazidi kuwa rahisi.....acha wanasayansi watusaidie SISI wanasiasa(Africa) angalau kushuhudia kwa macho mageuzi ya kiteknolojia......

Weee, kila siku ni hoja za kipuuzi tu....mabingwa wa mipango hewa na wakali wa statistics....uchumi unakuwa kwa 7% kila mwaka tangu enzi za Ben....

Eti tumesomesha wengi saaaaaana, waliosoma wengi ndo haooooo wanasonga....

Tena wamenikumbusha wale wanaojinadi eti wao wasomi humu na kudharau wengine, oneni wasomi wanachofanya huko.....hata hadhi ya kuwa COPY ya wasomi tuuu hamjaifikia...

Samahanini.......
Mkuu umeongea kwa hisia kali, watoto wa sikuhizi wanaita povu
Lakini ni kweli sisi ni wanasiasa !
 
Watafiti sasa wanaweza kuona jinsi gani ions zina ungana ndani ya Supercapacitors...na hii inamaanisha itabadili kabisa jinsi ya kuchaji vitu vya umeme.
f17e8f6e38fa1642ba06f0cda4ae253f.jpg

Ni miaka 200 sasa tangu betri ya kwanza kuundwa na kwa muda wote betri za AAAs zimeonesha uwezo wake katika field mbalimbali remote controls, roboti ndogo na vinginevyo vimethibitisha kufanya kazi kubwa kwa kuwa na betri ndani yake na kila mmoja ameshuhudia umuhimu wa betri kwa miongo kadhaa.

Betri imekuwa kifaa muhimu sana na ndiyo kifaa pekee cha umeme kilicho saidia consuner electrical devices kuwa portable na kutawala soko kuliko desktop devices.

Lakin watafit kutok Cambridge na Ufaransa wamepata njia ni nin kinatokea ndani ya supercapacitor. Betri za kawaida zinatumia muunganiko wa kemikali kuzalisha na kutunza umeme lakn Supercapacitor zenyewe zina hasi(-) na chanya (+) katika ions ndani ya electrolyte ambazo hizi hasi na chanya hujishikiza ukutani mwa electrodes wakati supercapacitor ikiwa inachajiwa.
dbfcaa12fc5c7d5ce3341e32a02e8e2d.jpg

Kitendo cha - na + kujishikiza katik ukuta wa electrodes za supercapacitor kinatokea haraka sana katika muda mchache kuliko muda ambao muunganiko wa kemikali ndani ya betri kuunda umeme na hii ni kaamba supercapacitors zinachajiwa haraka zaidi ya betri.

In short ni kuwa...unapo charge betri ya kawaida kemikali zinaungana kwanza ndipo zinazalisha umeme ambao ni - na +, lakin unapo charge supercapacitor - na + huenda ukutani mojakwamoja na huzalisha umeme.
c3f8ef75cfdc1c45a1245d6c156be6c1.jpg

Technolojia hii inaweza kupoteza kabisa betri za kemikali katika soko na matumizi

Pia katika issue za usalama betri ni hatari kwakua inamemikali amazo zikikumwagikia unajua utam wake...lakn supercaoacitor hazna kemikali

Hapo mwanzo electrical cars zilikuwepo lkn kwa ugumu na muda mwingi wa kuchaji betri bas Fuel car zikadominate soko mpaka leo ingawa soko la electrical cars limeanza kurudi ila kwa mfumo uleule wa chemical betri na hybrid cars...lakin sana utaweza kuchaji muda mfupi charging station kama unajaza mafuta vile ....na wanasema inaweza kuwa mwisho wa fossil fuel cars.

Source: Nature Materials.
Electric car haziwezi kureplace magari ya petrol or diesel,simply bcz walioshika uchumi wa dunia wanategemea biashara hii.
 
Mkuu umeongea kwa hisia kali, watoto wa sikuhizi wanaita povu
Lakini ni kweli sisi ni wanasiasa !
Ndo hivyo kiongozi......ukimuuliza usomi wako umetusaidiaje........atakwambia, naendesha gari kali, ninaishi kwenye bangaloo langu, CHICKS hawachezi mbali nami, ulaya kwangu ni kama K/KOO tuu, mi ni mtu mkubwa sana kwenye ajira yangu/biashara zangu.

Povu jingine.....uongo???
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom